Notice: file_put_contents(): Write of 627 bytes failed with errno=28 No space left on device in /www/wwwroot/muzbon.net/system/url_helper.php on line 265
Njerae - Penzi Wa Kasi | Скачать MP3 бесплатно
Penzi Wa Kasi

Penzi Wa Kasi

Njerae

Альбом: Unintentional
Длительность: 2:45
Год: 2022
Скачать MP3

Текст песни

You're telling me this telling me that
Saying that you won't ever have to think twice
Ukipata nafasi hupotezi wakati
Saying that you won't fall back no way
And all you need to show me is just one day
Ukipata nafasi hivyo ushakuwa chali
Juu saa zingine tunavibe and you know that's alright but
I know you know we've made it through so many nights
Na hiyo time inapofika you know you're the one mi nitaita
Itika nikufikie na bado unirudie
Mapenzi ni ya bure utaachwa usisinzie
Take it nice and slow don't got lost oh no

Kwa mwendo wa kasi nipe nafasi
Nikuonyeshe mapenzi wa kasi
Niko na penzi wa kasi
Kwa mwendo wa kasi oh nipe nafasi
Nikuonyeshe mapenzi wa kasi
Niko na penzi wa kasi

Na kinacho nichangaya
Ni nini yeye hufanyanga na
Mi bado hung'ang'ana
Juu siko ready kusema kwa heri no
Na kinacho nichangaya
Ni nini yeye hufanyanga na
Mi bado hung'ang'ana
Juu siko ready kusema kwa heri

Ooh ohh oh oh Ooh ohh oh oh
Ooh ohh oh oh Ooh ohh oh oh

Kwa mwendo wa kasi nipe nafasi
Nikuonyeshe mapenzi wa kasi
Niko na penzi wa kasi
Kwa mwendo wa kasi oh nipe nafasi
Nikuonyeshe mapenzi wa kasi
Niko na penzi wa kasi