Time

Time

Nyashinski

Альбом: Lucky You
Длительность: 2:40
Год: 2020
Скачать MP3

Текст песни

Yeah, yeah, yeah, yee, eeh

Kitu sina ni time na days zinafly
Siezi afford ku-mark time mimi
Kitu sina ni time na days zinafly
Siezi afford ku-mark time mimi

We ni rapper si unafaa kuwa unabrag
Ju ya bag, but wanang'am vile inakam
Hata ka husemi inner circle inaendaga tu ikikuwa pyenga daily, daily
Trust si natural kwako bado umetense
Plus kila mtu ana version yake ya events
Ushanionyesha na ukinionyesha nacheki
Umetry kuseparate hu nutty professor na keki
Mi ni provider nasteti
Jah my protector wengine wakienda na ukedi
From ku-grow pamoja kusahau kuonana wikendi
Najua mnacheki nikimake it
Nina masikio, mahali siko

Kitu sina ni time na days zinafly
Siezi afford ku-mark time mimi
Kitu sina ni time na days zinafly
Siezi afford ku-mark time mimi

Hii kitu ni ka interview
Na do kitu fiti, uko like, "Hivi ndo manigga hudo"
Used to be sneaky, siku hizi hatufichi hizi feelings
Went from, "Ni phase itapita tu" to "Mapenzi hakika tu"
Na-reason na roho sio akili
Risking like we don't need to be doing na inatuumiza ju tunacheza chini

I've been through things, you've been through things
So really niki-imply hio ndo reason mi hukuwa hivi, I know you feel me
All gangsta mpaka tucatch mafeelings (alafu nini?)
Alafu, alafu, jelousy (ikifanya nini?)
Ikishaingia kwa picha
Huwanga imeingia kabisa

Na kitu sina ni time na days zinafly
Siezi afford ku-mark time mimi
Kitu sina ni time na days zinafly
Siezi afford ku-mark time mimi

I feel like my hours go (they go)
Faster than they used to go
You feel like you need more time with me (need more time with me)
I feel like my hours go (they go)
Faster than they used to go
You feel like you need more time with me (need more time with me)

Kitu sina ni time, days zinafly
Siezi afford ku-mark time mimi
Kitu sina ni time, days zinafly
Siezi afford ku-mark time mimi

Kitu sina ni time na days zinafly
Siezi afford ku-mark time mimi
Kitu sina ni time na days zinafly
Siezi afford ku-mark time mimi