Bora Kushukuru

Bora Kushukuru

Obby Alpha

Альбом: Bora Kushukuru
Длительность: 3:58
Год: 2023
Скачать MP3

Текст песни

Ni Bora Lyrics
 Verse 1
 Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo, Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo, Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata, Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa. Tabasamu njoo,Nataka nibadiri Wangu mtazamo niishi kitajiri Na wewe maumivu njoo,Nataka nibadiri Wangu msimamo niishi kijasiri, Ile habari ya kulialia Kila siku nakataa (Nakataaa). Na kama nilisainiwa mkataba nafuta aah, Ndugu tulowasaidia wakaficha makucha (Makucha). Wao walipofanikiwa wakataka kutushusha aah!!! 
Bridge 
Nafuta zile why me!! Why me!! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Nafuta zile why mimi Why mimi !! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi 
Chorus 
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo, Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo, Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata, Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa. 
Verse 2
 Na nilipo huenda Kuna wengine wanapatamani, Zamani huko nilishakataliwa na watu wa nyumbani, Kile kidogo ninacholalamika lakini nimepata, Wengine huko wamepambana wamekosa kabisa. Kumbe ni Bora kuridhika na hiki, Nilichopata ndio yangu ridhiki, Mungu ni Bora yeye hatabiriki, Amekupa hicho mi amenipa hikii. 