Taya
Okello Max
4:00Genesis Intro Kar chakruok en mor lilo Korumo en ywago remo (Yeah… Wakati ilianza na kina Pedeshe Adam Ilikuwa beautiful Sasa hivi, hehehehehe… ai Mutoto ya Pamela) Wooooh… Aaaaah Ngai eee Woooooh Bolingo ya nzele Woooooh Verse Hera, hera ma sani tinawach ni ohingo ya Kila ng’ato donjie mana manyo moke Inyapangi, miparni weche voodoo Kara gipandi, wenge ochomo ofuku Yeeeeaaaah, chuny dhano mudho mandiwa Ooooh, ok ding’e moheri adiera Yeeeeaaaah, chuny dhano mudho mandiwa Ooooh, ok ding’e moheri adiera (Aaah Mapenzi huwaga tamu ikiansa, yeah) Hera Kachako oooh honeymoon, Love opoto gini ipako nyaka e polo Simbe igoyo, mafwa ioro mapensi ya godoro Opong’o kart, shopping echo idhi I nyaka Morocco Pre hook To mit samorumo….. Mambo inachemuka, piny gi polo Aliyekuogesa sasa adui yako Eti kuaibisana inakuwa mitindo Tena bila aibu pale kwa mitandao mama… (Weeeuh inakuwa story balaa, ai) Chorus Mkishazoeana utamu haukolei Simu za kila siku siku hizi hamuongei Wakucuddle pia kitanda haitoshei Hebu songa kule mwenzangu hasongei Genesis sielewi mahaba huenda wapi Nashindwa mbona isiwe kama zamani Tupendane kama mwanzo na isiishe Pendane kama mwanzo na isiishe… (Ooooh ooooh…) Verse Koso dibedie ni wan emawarwenyo yoo Koso dibedie matindo manwatimo go Asepenjora okayud dwoko Gini chando yaa Si Khadijah si Fatuma kila mtu analia Carolina Amelina nao pia wamerambwa Hii kitu haina commando, wala manual na Huku hupewi masomo, oo Ng’ama ti newahigo Hera maradiera nyaka giko Vile tutakavyo anza, tumalizie Tena tusishuke namba, tuzidishie (Yeah, Unaongeza asilimia mia mbili kuendelea, ipande juu) Pre hook To mit samorumo….. Mambo inachemuka, piny gi polo Aliyekuogesa sasa adui yako Eti kuaibisana inakuwa mitindo Tena bila aibu pale kwa mitandao…. mama Oooooh mama…. Ooooooohh….. Chorus Mkishazoeana utamu haukolei Simu za kila siku siku hizi hamuongei Wakucuddle pia kitanda haitoshei Hebu songa kule mwenzangu hasongei Genesis sielewi mahaba huenda wapi Nashindwa mbona isiwe kama zamani Tupendane kama mwanzo na isiishe (Mbona tusipendane kama zamani) Pendane kama mwanzo na isiishe (Mbona tusipendane kama zamani) (Mbona tusipendane kama zamani) (Mbona tusipendane kama za za zamani yeeeeaah) Genesis Lelele Lelele Leleleleleeee….. Outro Mambo ya mapensi inatesa sana roho Mambo ya mapensi inachangana mandume Mambo ya mapensi inafanya ninja nalia Mambo ya mapensi yooooh oooooh… Alalalalaaaalalalaaaa Wuo jomoko asandora Asandoraaaa love yawa Ei lit gadier