Sinzia (Feat. Juacali)
Nameless
4:49Usimpe roho ya waza kwanza Wapi tofauti yake nao Sina noma naye Wowowo Usimpe roho ya waza kwanza Wapi tofauti yake nao Sina noma naye Wowowo Hebu nikueleze Wananinokisha Wananniambia Mimi ni malaika Ninawapendeza Wote wananiwaza Siwezi wakataa Njaro zao manufaa He's trying to blind you girl He don't really love you Usidanganyike Mwambie Ajikate Usimpe roho ya waza kwanza Wapi tofauti yake nao Sina noma naye Wowowo Usimpe roho ya waza kwanza Wapi tofauti yake nao Sina noma naye Wowowo So many times I told you I'm The type of guy you'll never find Messing around with your mind, alright But ever since I've been away You acting like I wanna play Do you know how you make me feel? Usimpe roho ya waza kwanza Wapi tofauti yake nao Sina noma naye Wowowo Usimpe roho ya waza kwanza Wapi tofauti yake nao Sina noma naye Wowowo Anakushow usmoke sigara kwa wingi na igniter tu Ati wee kukuwa na mi itakuwa blunder juu Nimekuwa bad boy ever since standard 2 Kuchapa watoi mateke hadi naganda mguu Lakini hajui haifaidi Akikuambia mi ni roughneck bad boy Ndio unanipenda zaidi Kile roho yako imechagua ishachagua Na hiyo ni kitu iko sure Hata ye mwenyewe anajua Nyashinski Baby unasmell fresh Kama lavender na cherry Si nikuite Mariah jo vile umecarry Ring kwenye belly na smile ya Halle Berry Mathake hanilike since anicheki kwa telly Juu mi huwanga juu ya maji jo kama ferry Mi huwanga magush na seduce hata medusa Nagusa kipusa anapata ma-goosebumps Nine inches kwa boxers Abbass baby Usimpe roho ya waza kwanza Wapi tofauti yake nao Sina noma naye Wowowo Usimpe roho ya waza kwanza Wapi tofauti yake nao Sina noma naye Wowowo This here's getting critical Intellectual and physical Nipe nafasi nipe hii interval Nikuonyeshe loving hizi unbeatable Na uwaambie wasinichafie Tuende nyumbani baby tusinzie Nikupe date ui-mark kwa calendar Nikupe agenda kupenda Bogi benda Nimetia bidii bana si unikubali Ukinikataa nachinjia beste yako kwani Mtu wa nguvu ka mimi siezi kaa bila manzi Siezi kuwa kila siku najiskizia ndani kwa ndani Nipe roho yako Nipe kila kitu yako Shika maua ringia beste zako Shika halua kulisha beste zako Usimpe roho ya waza kwanza Wapi tofauti yake nao Sina noma naye Wowowo Usimpe roho ya waza kwanza Wapi tofauti yake nao Sina noma naye Wowowo Usimpe roho ya waza kwanza Wapi tofauti yake nao Sina noma naye Wowowo