Yeeeh (Feat. Vii Sugar Boy & Yogo Beats)
Rapcha
3:0540 Missed Calls Verse 1: Rapcha Someone is playing with me kuna mtu ananichezea Someone is playing with me Nashuka kiuchumi ndoa yangu inachafuka Kuna mchezo unaendelea they are playing with me Muda mchache kwenye ndoa maumivu yamenizidia Huu ni mwezi wa tano unaingia Nkitazama muda ni Saa sita usiku, baada ya kumtafuta sana huyu mwenzangu ndo nyumbani anaingia Niambie umetoka wapi Salma Hii kesi isidingo si tumetoka kuisolve jana Isingefika 40 missed calls ka ulikua kwa mama Nakuambiaga huniheshimu Salma unanidharau sana story zako mjini naambiwa Hamna kitu kinaniuma kama habari kwamba mi namegewa Unanipandisha hasira navokuambia ukweli afu unanijibu kwa kufoka kama unaonewa Hebu Leta simu yako, fungua!!! Salma usinipandishie, icho kiburi chako ntakupasua Naichukua nianze kuipekua akaja kuikwapuaAkili ikaflip, gun nkanyanyua Salma Kanijia juu, Nimechoka maisha ya kubaniwa Bora tu tuachane umezidi kunitishia Story za malaya wako nikikuambia unajifanya mkali Kama we kidume fyatua.. Gun shots!! Chorus: Vanilla Nilikupenda mpaka kufuru nikawa nawaza jidhuru ukiwa mbali Tena nikakupa uhuru na ukashindwa shukuru ikawa ndo dosari Ukaenda ku date na wale Mi wakuwa nasota we ule Na mie kukuacha siwezi Ni bora dunia tuiache aah Verse 2: Rapcha Fahamu zinarudi akili imeduaa Salma anateseka chini baada ya risasi nne kumvaa Hofu kubwa inaniingia nikiangalia Damu yake inavyonililia chini inatapakaa Ndo Idea ya kukamatwa ikanijia Nikajua haitopita muda mapolisi watanitimbia Ila nguvu zote zishaniishiaNikiumia kuona safari yetu ya mapenzi ilipokwamia Dhambi inaanza kunitafuna Natamani nirudishe muda nyuma niongee na Salma Najiona mnafki kwa kumwaga damu kwa makosa ambayo moyoni najua kuwa na mimi nafanya Itanitesa maisha yangu yote hii memory Ego zetu zimefanya tumeharibu destiny Vita na Insecurities hakukuwa na honesty Na loyalty marafiki wakatunyima privacy litimie agano Nahisi Mungu ametuchagua mi na wewe tuwe mfano Salma, hukustahili hii adhabu ninakiri Naomba kabla haujafika mbali nisubiri Gun shot!! Vanilla Roho yangu inauma Kosa lako kuzichezea hisia zangu Inamaana hukuona Nilivyopambana kuziheshimu hisia zako? Aaah Chorus Nilikupenda mpaka kufuru nikawa nawaza jidhuru ukiwa mbali Tena nikakupa uhuru na ukashindwa shukuru ikawa ndo dosari Ukaenda ku date na wale Mi wakuwa nasota we ule Na mie kukuacha siwezi Ni bora dunia tuiache aah