Icu
Rapcha
3:19Its ok Verse 1 Nlipokucheck kwa phone Hata nikuone simu ulikua huzioni Trying to reach you ila unanikimbia nkaanza kudata alone Father anasema son unaisha mwili na nuru inashuka usoni Najiinamia navuta another joint nahisi niko ndotoni I'll be okay Ishapita I'll be okay Muda utapita and I'll be okay Nshapata remedy i feel okay Karma inakuja inabidi upay Moyo ulitaka tu ukutetee Wewe ukataka tu uniongopee Japo nlitaka sana tuendelee Basi nipotezee Bridge Umeniblock ili nsione unachopost.. that's okay Umeniintroduce kwa wana as a friend.. that's okay Everyday uko busy, sikuulizi.. that's okay Na chochote utachofanya, its okay, I'm okayChorus It's okay with me (sawa tu) I'm okay (sawa sawa sawa sawa tu) It's okay with me I'm okay It's okay with me (sawa tu) I'm okay (sawa sawa sawa sawa tu) Its okay with me I'm okay Verse 2 Nilijiforce ukanipa uchizi nikaona nisicomplicate Sisikilizi ngoma zote ambazo nilikudedicate Umenishawishi niwe mbishi kuziamini hizi sketi Silazimishi wale wabishi nazi haiwezi kudigest Na nashukuru nimeshtuka, soon i was fall deep Na kuiona sura yangu kwenye show uwe na fee Put some respect on my name namba yangu isave hivi Sugar dady ambae atanipa Gono na HIV Bridge Umeniblock ili nsione unachopost.. that's okay Umeniintroduce kwa wana as a friend.. that's okayEveryday uko busy, sikuulizi.. that's okay Na chochote utachofanya, its okay, I'm okay Chorus It's okay with me (sawa tu) I'm okay (sawa sawa sawa sawa tu) It's okay with me I'm okay It's okay with me (sawa tu) I'm okay (sawa sawa sawa sawa tu) Its okay with me I'm okay outro It's okay It's okay I'm okay yaa Itakua sawa Everything is gonna be alright I'm outside, ntakua sawa Everything is gonna be alright I'm outside, ntakua sawaEverything is gonna be alright I'm outside, ntakua sawa Everything is gonna be alright I'm outside, ntakua sawa Everything is gonna be alright I'm outside, ntakua sawa