Bongo Hip Hop
Rasco Sembo
3:22MH nikwambie ( Ah ) Mbona Siyoo,...Mboona siyo Mbaya Mbona Siyoo,...Mboona siyo Mbaya Mbona Siyo mbaya ,Sio Sawa..... Mwenzenu nimechoka kuuza sura Mwenzenu sikuhizi Sipendi chura Ila mwenzenu Napenda mpira Yakipigwa Mashoot na daka Kama manura Simba kuifunga yanga sawa Ila Simba kuifunga Man U ( Sio sawa ) Ni kweli mziki unalipa sawa Eti Amber Lulu na Gigi waache kudanga ( Sio sawa) Nikinywa pombe nikalewa sawa Ila kunipangia nalewa vipi (Sio sawa) Kumlipa kodi mwenye nyumba sawa Ila kunipangia muda wa kurudi (siyo sawa) Zuchu akimzalia mond sawa Ila Konde boy kurudi wasafi ( Sio sawa) Twaha kiduku akishinda Ngumi Sawa Eti Mandonga ampige mwakinyo (siyo sawa) Mbona Siyoo,...Mboona siyo Mbaya Mbona Siyoo,...Mboona siyo Mbaya . Say 1,2.3 Goooo... Mbona Sio Mbaya ,..Sio sawa . Mungu kakunyima sura kakupa Kalio Mi nimekupa simu unataka na salio Ukinga'ta Pua mi Nang'ata Sikio Mpaka Sehemu za Siri usafishe na fagio Ukinifuma na sms sawa Ila kunifumania juu ya kifua (siyo sawa) Ni kweli tumeachana sawa ndo ukanitangaze na Kibamia (siyo sawa) . Whozu akimpa mimba wema sawa Ila baba levo kuacha uchawa (Sio sawa) Wee Hatakama una sifa za kihaya Ndo upaone bongo Kama ulaya( Sio sawa) Kama unaweza kubishana bishana Et uanze kubishana na redio Ah,Twaha kiduku akishinda Ngumi Sawa Ila Mandonga kumpiga mwakinyo (Sio sawa) Mbona Siyoo,...Mboona siyo Mbaya Mbona Siyoo,...Mboona siyo Mbaya Say 1,2.3 Goooo... Mbona Sio Mbaya ,..Sio sawa Sio Sawa ,Sio Sawa