Tetema (Feat. Diamond Platnumz)
Rayvanny
2:34Vanny Boy... Ehh Vanny boy Ehe They are not ready for this Eeh nyege nyege Kwetu mwanza nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza Nyegezi Eeh nyege nyege Kwetu mwanza Nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza Nyegezi Oya wind your waist Njoo nipatie Commando Nikupe cha mkwesi Kwa miuno ya taekwondo Asa shekele Mwendo wa kandanda Ndani ya nangwanda Sa nisongeze Leta msambwanda Nikazie ngangangaaa (Chiii!) Kananivuta ghetto Nkapinge bunduki (high bunduki) Ile naogopa central Michezo ya Amber Rutty (Amber Rutty) Eeh nyege nyege Kwetu mwanza nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza Nyegezi Eeh nyege nyege Kwetu mwanza Nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza Nyegezi Yaani kama mjaluo Shepu ya Mombasa Hapendagi mpasuo Hatakishida BASATA Tepe tepe Toto kama supu teke teke (Kongoro) Kwa makeke muite Fally Ipupa wa temeke (Ndombolo) Shaku shaku ya masai (Oooh masai) Kama kama nachuma papai (Oooh papai) Funika funua (twendee) Bandika bandua (Twendee) Anika anua (twendee) Kanipa chukua (twendee) Eeh nyege nyege Kwetu mwanza nyegezi Hmmm nyege nyege Nishushe mwanza Nyegezi Eeh nyege nyege Kwetu mwanza Nyegezi Hmmm nyege Nyege Nishushe mwanza Nyegezi Oya fiti kalikiti ti Katoto hakashikiki (oya) Kwenye bilingiti ti Huvunjaga na kiti Oooh sa iweke Ah iweke iweke... Ah iweke Ipitishe kwa chini Ah iweke iweke... Ah iweke Miuno ya kazi kazini Ah iweke iweke... Ah iweke Hii Ile ndindindii Ah iweke iweke... Ah iweke Ngoja shake it bobo Ah iweke iweke... Ah iweke Twende shaku kidogo Ah iweke iweke... Ah iweke Chuma magimbimbi Ah iweke iweke... Ah iweke Ah iweke iweke... Ah iweke