Naoa (Feat. Alikiba)

Naoa (Feat. Alikiba)

Rayvanny

Альбом: The Big One
Длительность: 3:21
Год: 2024
Скачать MP3

Текст песни

Yeah!
(Aah-aah) Chui (ooh-ooh)
(S2kizzy baby)
(Naoa ye', naoa ye', naoa hiki chombo, naoa ye', naoa ye', ah-ah-ah)

Hanaga CV ya kuachika, aliwaacha wote aliokuwa nao before
Mikono yake sio ya kupika, ni kunishika, shika na kunihesabia dough
Kuku tetea ametulia, show-show time ona anavyopanda jogoo
Mahari kwao nitatoa na mia, wakitaka ng'ombe nitawaongeza kondoo

Una balaa, baby, una balaa
Una balaa, baby, una balaa
Una balaa, baby, una balaa
Hata wakikataa, baby we' ni kifaa, iyoo

Utamu nipunguze ama niongeze, baby (aah, ongeza)
Mahaba nikupe yote ama yanatosha, baby (aah, baby, ongeza)
Utamu nipunguze, niongeze, baby (aah, ongeza)
Nikupe ndizi na nini, muhogo, baby (aah, baby, ongeza

Naoa, eh, eh, naoa ye'
Naoa, siwadanganyi, naoa
Naoa, eh, eh, naoa ye'
Naoa hiki chombo, naoa
Naoa, eh, eh, naoa ye'
Naoa, siwadanganyi, naoa
Naoa, eh, eh, naoa ye'
Naoa hiki chombo, naoa

Mi' nimemiss penzi internationally
Sio kifisi, fisi mahaba ya Kisomali, oh
Ooh, wajua mimi siwezi kukuacha wewe
Nataka uishi na mimi
Usiniache, nisikuache, oh-oh, please
Ah-ah-ah
Nimetandika busati, keti kwenye roho, oh
Kanikogesha marashi, te amo

Kama unakuja, kama una go
We' na malaika, Kurwa na Dotto
Yanayonivuta, mahaba yako
Mama nakuita, uje Kariakoo

Naoa ye', naoa
Naoa ye', naoa
Ali, naoa, naoa
Naoa ye', naoa
Naoa ye', naoa (ah)
Naoa (naoa yeye) ye', naoa
Ali, naoa, naoa (oh)
Naoa (naoa yeye) ye', naoa
Ali leo naoa ye, eh-ih
Oh-whoa, oh, oh-oh

Yup!
Ali leo naoa ye', eh-ih
(Kamix Lizer)