Timna Maber
Redemption Ministers
4:241. Chukua udongo tena, udongo tena, Bwana kama vile shambani Edeni ( Edeni) Tengeneza tope kama kwa kipofu, Kaa ufinyange tena moyo wangu Bwana (nasema) kuta zilizobomoka Simamisha tena,umba tena mawazo yangu Bwana, Niwaze ya mbingu tu eeh Bwana, Bwana finyanga, umba tena kama zamani! Chukua udongo tena, udongo tena, Bwana kama vile shambani Edeni ( Edeni) Tengeneza tope kama kwa kipofu, Kaa ufinyange tena moyo wangu Bwana (nasema) kuta zilizobomoka Simamisha tena,umba tena mawazo yangu Bwana, Niwaze ya mbingu tu eeh Bwana, Bwana finyanga, umba tena kama zamani! Nilipobomoka, Bwana umba tena viganjani mwako nigeuze tena. Yachunguze mianya ya dhambi maishani Bwana uyazibe mie Nitope tu, nawe mfinyanzi nitengeneze tena upya, geuza nia zangu! Niangaze tena (tena, tena) Mwanga wa bingu kwa utukufu wako. Nilipobomoka, Bwana umba tena viganjani mwako nigeuze tena. Yachunguze mianya ya dhambi maishani Bwana uyazibe mie Nitope tu, nawe mfinyanzi nitengeneze tena upya, geuza nia zangu! Niangaze tena (tena, tena) Mwanga wa bingu kwa utukufu wako. 2. Mawazo na nia zangu, na nia zangu, Yamejengwa kwayo ya muda kitambo, yadumuyo kwangu kweli ni zogo tu, Matarajio yangu ni kwa yasiyo dumu.( Nasema) Bwana uniwie tamu yale ya mbingu, Nataka nionje utamu wa pendo, (Wa pendo) kisha nibarizi kwalo dawamu Bwana finyanga umba tena kama zamani. Mawazo na nia zangu, na nia zangu, Yamejengwa kwayo ya muda kitambo, yadumuyo kwangu kweli ni zogo tu, Matarajio yangu ni kwa yasiyo dumu.( Nasema) Bwana uniwie tamu yale ya mbingu, Nataka nionje utamu wa pendo, (Wa pendo) kisha nibarizi kwalo dawamu Bwana finyanga umba tena kama zamani. Nilipobomoka, Bwana umba tena viganjani mwako nigeuze tena. Yachunguze mianya ya dhambi maishani Bwana uyazibe mie Nitope tu, nawe mfinyanzi nitengeneze tena upya, geuza nia zangu! Niangaze tena (tena, tena) Mwanga wa bingu kwa utukufu wako. Nilipobomoka, Bwana umba tena viganjani mwako nigeuze tena. Yachunguze mianya ya dhambi maishani Bwana uyazibe mie Nitope tu, nawe mfinyanzi nitengeneze tena upya, geuza nia zangu! Niangaze tena (tena, tena) Mwanga wa bingu kwa utukufu wako. Nilipobomoka, Bwana umba tena viganjani mwako nigeuze tena. Yachunguze mianya ya dhambi maishani Bwana uyazibe mie Nitope tu, nawe mfinyanzi nitengeneze tena upya, geuza nia zangu! Niangaze tena (tena, tena) Mwanga wa bingu kwa utukufu wako. Nilipobomoka, Bwana umba tena viganjani mwako nigeuze tena. Yachunguze mianya ya dhambi maishani Bwana uyazibe mie Nitope tu, nawe mfinyanzi nitengeneze tena upya, geuza nia zangu! Niangaze tena (tena, tena) Mwanga wa bingu kwa utukufu wako. Nilipobomoka, Bwana umba tena viganjani mwako nigeuze tena. Yachunguze mianya ya dhambi maishani Bwana uyazibe mie Nitope tu, nawe mfinyanzi nitengeneze tena upya, geuza nia zangu! Niangaze tena (tena, tena) Mwanga wa bingu kwa utukufu wako.