Dunia Ni Shangwe

Dunia Ni Shangwe

Reuben Kigame

Альбом: Usifadhaike
Длительность: 5:01
Год: 2016
Скачать MP3

Текст песни

Dunia yote yashangilia
Yesu hayuko kaburini tena

Dunia ni shangwe
Yesu kafufuka
Mauti kashindwa
Bwana Yesu yuko hai (sema)
Dunia ni shangwe
Yesu kafufuka
Mauti kashindwa
Bwana Yesu yuko hai (imbeni wadada)

Juu mtini
Ela elai (ela elai)
Kilio chake kwa ajili yetu
Mimi nawe
Uchungu mwingi
Alipitia (alipitia)
Kuteswa kwake kwa ajili yetu
Mimi nawe

Dunia ni shangwe (ni shangwe)
Yesu kafufuka
Mauti kashindwa
Bwana Yesu yuko hai
Dunia ni shangwe
Yesu kafufuka
Mauti kashindwa
Bwana Yesu yuko hai

Taji ya miiba
Alivalishwa (alivalishwa)
Kuteswa kwake kwa ajili yetu
Mimi nawe (aliumia)
Ubavu wake
Kachomwa mkuki (aliumizwa)
Uchungu wake kwa ajili yetu
Mimi nawe

Dunia ni shangwe
Yesu kafufuka
Mauti kashindwa
Bwana Yesu yuko hai
Dunia ni shangwe
Yesu kafufuka
Mauti kashindwa
Bwana Yesu yuko hai

Alilazwa kaburini
Kifo chake kwa ajili yetu
Mimi nawe
Siku ya tatu
Akafufuka
Ushindi wake kwa ajili yetu
Mimi nawe

Dunia ni shangwe
Yesu kafufuka
Mauti kashindwa
Bwana Yesu yuko hai
Dunia ni shangwe
Yesu kafufuka
Mauti kashindwa
Bwana Yesu yuko hai

Dunia ni shangwe
Yesu kafufuka
Mauti kashindwa
Bwana Yesu yuko hai
Dunia ni shangwe
Yesu kafufuka
Mauti kashindwa
Bwana Yesu yuko hai

Dunia ni shangwe
Yesu kafufuka
Mauti kashindwa
Bwana Yesu yuko hai
Dunia ni shangwe
Yesu kafufuka
Mauti kashindwa
Bwana Yesu yuko hai