Afro (Mama Oh)
Rorexxie
7:41Rorexxie, King Kikii, Orchestra Marquiz Original, Nguza Viking, Skassy Kasambula, Kasalo Kyanga, And Msondo Ngoma Music Band
Kama wewe umenipenda, kwanini kunidanganya bwana we? Kujibandika madaraka sio yako bwana wewe Kama wewe umenipenda, kwanini kunidanganya bwana we? Kujibandika madaraka sio yako bwana wewe Nimesikia tetesi kuwa huna lolote, hata kazi huna, Ehh Unazurura mchana kutwa, kupita kuranda randa mitaani Nimesikia tetesi kuwa huna lolote, hata kazi huna, Ehh Unazurura mchana kutwa, kupita kuranda randa mitaani Kumbe hukuwa nauwezo wakunioa ila kuniaribia maisha Kheri kuniambia ukweli ulivyo kuliko kunidanganya (Nikuelewe vipi Eeh, babu we) (Uaminifu wako uko wapi, Eeh, baba aaah?) (Nikuelewe vipi Eeh, babu we) (Uaminifu wako uko wapi, Eeh, baba aaah?) Karubandika, Mmhh Kumbe wewe tapeli, ha-ha-ha, ahaah (Nikuelewe vipi Eeh, babu we) (Uaminifu wako uko wapi, Eeh, baba aaah?) (Nikuelewe vipi Eeh, babu we) (Uaminifu wako uko wapi, Eeh, baba aaah?) (Usinione bwege baba) (Usinione bwege baba) (Kwa kukubali wito wako, Karubandika Eeeh) (Kwa kukubali wito wako, Karubandika Eeeh) (Ha' yote nimatatizo ya dunia baba) (Ha' yote nimatatizo ya dunia baba) (Usinione bwege baba) (Usinione bwege baba) (Kwa kukubali wito wako, Karubandika Eeeh) (Kwa kukubali wito wako, Karubandika Eeeh) (Ha' yote nimatatizo ya dunia baba) (Ha' yote nimatatizo ya dunia baba) Nilitaka kujitumbukiza ndani ya moto mie Kumbe bwana yule, hana kitanda wala shuka Pakulala hana, analala kwenye stendi ya basi Pakulala hana, anakesha kwenye kituo cha sita, ehh Karubandika yoyo, acha vituko we baba (Usinione bwege baba) Karubandika Iyeeh (Usinione bwege baba) (Kwa kukubali wito wako, Karubandika Eeeh) (Kwa kukubali wito wako, Karubandika Eeeh) (Ha' yote nimatatizo ya dunia baba) (Ha' yote nimatatizo ya dunia baba) Akiingia kwenye bar, kazi yake kuomba bia (beer) Na akiingia kwenye beer, kazi yake kuomba bar Hana hata aibu weh, sigara pia anaomba Hana hata aibu weh, na supu pia ana bomu Mitaani na kwenye masto' Kujitangazia kuwa yeye nimukurugenzi wa kampuni fulani Ohh Kumbe sivyo hivyo, Oooh (Usinione bwege baba) Karubandika Iyeeh (Usinione bwege baba) Mama yooh (Kwa kukubali wito wako, Karubandika Eeeh) (Kwa kukubali wito wako, Karubandika Eeeh) (Ha' yote nimatatizo ya dunia baba) (Ha' yote nimatatizo ya dunia baba) Nilitaka kujitumbukiza ndani ya moto mie Kumbe bwana yule, hana kitanda wala shuka Pakulala hana, analala kwenye stendi ya basi Pakulala hana, anakesha kwenye kituo cha sita, ehh Karubandika yoyo, acha vituko we baba (Usinione bwege baba) Karubandika Iyeeh (Usinione bwege baba) (Kwa kukubali wito wako, Karubandika Eeeh) (Kwa kukubali wito wako, Karubandika Eeeh) (Ha' yote nimatatizo ya dunia baba) (Ha' yote nimatatizo ya dunia baba) (Usinione bwege baba) Karubandika Iyeeh (Usinione bwege baba) (Kwa kukubali wito wako, Karubandika Eeeh) (Kwa kukubali wito wako, Karubandika Eeeh) (Ha' yote nimatatizo ya dunia baba) (Ha' yote nimatatizo ya dunia baba)