Mhudumu
Aslay
4:06(Yanini malumbano, yanini maneno?) (Najiweka pembeni naipusha msongamano) (Bora nitulie, ningoje changu na mie) (Mollah nijalie haya yasijirudie) (Yanini malumbano, yanini maneno?) (Najiweka pembeni naipusha msongamano) (Bora nitulie, ningoje changu na mie) (Mollah nijalie haya yasijirudie) Kisa na mkasa yalionikuta Dar-, subiri kwamza machozi nafuta Nikikumbuka juzi nilipopataga, msichana mrembo mtam' kama amabatata Nilivyo pata nilidhani nimepata kumbe, nimepatikana Mitaa ya kati sasa sitaki kupita mwenzenu mi naona noma Umalaya chart kashika, anagawa kwa kila rika Umalaya chart kashika, anagawa kwa kila rika Ebu shika talaka nendaaa, (nendaa!) nenda! Mambo uliyo tenda, kuyavumilia nimeshindwa Nendaaa, nendaaa, nenda hata kama zamani nilipenda (Yanini malumbano, yanini maneno?) (Najiweka pembeni naipusha msongamano) (Bora nitulie, ningoje changu na mie) (Mollah nijalie haya yasijirudie) (Yanini malumbano, yanini maneno?) (Najiweka pembeni naipusha msongamano) (Bora nitulie, ningoje changu na mie) (Mollah nijalie haya yasijirudie) Mengi nimevumilia, hayapungui yanazidia Hivi kwanini my dear ama haujui kwamba naumia Pombe kichwani umeingia, eti saa nzima walia Mimi gheto nishajilalia, kitandani ukatapikia Kigezo sikukupenda, eti kupenda nisikopendwa Sasa kwanini unanitenda au ndo malipo ya kukupenda wewe Nisicho pinga ni kwamba ukweli nilikupenda wewe Nilicho shindwa nikuvumilia unayotenda baibe Nendaaa, nendaaa..., nenda hata kama zamani nilipenda (Yanini malumbano, yanini maneno?) (Najiweka pembeni naipusha msongamano) (Bora nitulie, ningoje changu na mie) (Mollah nijalie haya yasijirudie) (Yanini malumbano, yanini maneno?) (Najiweka pembeni naipusha msongamano) (Bora nitulie, ningoje changu na mie) (Mollah nijalie haya yasijirudie) Washkaji walinambia kwamba "demu nikiruka njia" Nilidhani wamenipangia kunitania nikapuuzia Chezo lilipoaanza nilidanganyaga naenda mwanza Kurudi kitu chakushangaza nakuta kidume kimejilaza gheto Nendaaa, nendaaa, nenda aeh Ebu shika talaka nenda, baiby gal baby nenda Mambo uliotenda, kuyavumilia nimeshindwa mie! Nendaaa, nendaaa, nenda hata kama zamani nilipenda