Zaidi (Feat. Bimz Suzario)
Rose Muhando
4:55Funguka Funguka Funguka Inuka, inuka, Jitwikwe godoro lako uendee Inuka, inuka, inuka, inuka Jitwike godoro lako uendee Efatha Efatha Kwa jina la Yesu Simama uendee Efatha Efatha Kwa jina la Yesu Simama uendee Mbona unahuzunika wewe umelala Umefungwa na nini mbona wewe umelala Wenzako wanabarikiwa mbona wewe umelala Msimu wa kiangazi na masika vinapita wewe umelala Umefungwa na nini mbona umelala Unaitwa majina mabaya sababu yote wewe umelala Mkono wa Mungu upo hapo Uweza wa Mungu upo hapa Uwepo wa Mungu upo hapa Na Yesu mwenyewe yupo hapa Kwa Jina la Jesu Kwa Jina la Jesu Kwa Jina la Jesu Simama uendee Kwa Jina la Jesu Kwa Jina la Jesu Kwa Jina la Jesu Tembea uendee Pokea muujiza wako “Uwe mzima” Kwa jina la Yesu “Uwe mzima” Usima uwe juu yako“Uwe mzima” hey hey Kwa Jina la Yesu “Uwe mzima” Ufunguliwe kwenye vifungo“Uwe mzima” Kwa Jina la Yesu “Uwe mzima” Utolewe kwenye mateso “Uwe mzima” Kwa Jina la Yesu “Uwe mzima” Umefungwa kazini kwako”Uwe mzima” Kwa Jina la Yesu”Uwe mzima” Umefungwa kwenye mapango”Uwe mzima” Kwa Jina la Yesu”Uwe mzima” Umefungwa kwenye makaburi”Uwe mzima” Toka, Kwa Jina la Yesu “Uwe mzima” Umefungwa kwenye uchawi “Uwe mzima” Hey, Kwa Jina la Yesu “Uwe mzima” Na amuru uzima wako “Uwe mzima” Kwa jina la Yesu“Uwe mzima” Naamuru Amani yako “Uwe mzima” Kwa Jina la Yesu“Uwe mzima” Simama uendee “Uwe mzima” Kwa Jina la Yesu“Uwe mzima” Simama Simama Simama Simama Nasema Inuka, inuka, inuka, inuka Nasema kwa jina la Yesu, Kwa jina la Yesu, Kwa Jina la Yesu, Hey, Hey Kwa jina la Yesu, Kwa jina la Yesu, Kwa jina la Yesu, Kwa jina la Yesu, Hey Waoooo Kunena kwa lugha Vifungo vikuachie ,uwe mzima Kwa jina la Yesu ,uwe mzima Utasa ukuondokee,uwe mzima Kwa jina la Yesu uwe mzima Kiziwi na usikie, uwe mzima Kwa Jina la Yesu , we mzima Na laana zikuondokee, uwe mzima Kwa jina la Yesu, uwe mzima Enenda na amani yako, uwe mzima Kwa Jina la Yesu, uwe mzima Enenda na uponyaji wako, uwe mzima Kwa jina la Yesu, uwe mzima Nasema Efatha, uwe mzima Kwa Jina la Yesu, Uwe mzima Nasema Enenda na amani yako, uwe mzima Kwa jina la Yesu, uwe mzima Nenda na uponyaji wako, uwe mzima Kwa jina la Yesu, uwe mzima Nasema Efatha, uwe mzima Kwa jina la Yesu, uwe mzima Efatha, uwe mzima Kwa jina la Yesu, uwe mzima Nasema enenda kwa amani yako, uwe mzima Kwa jina la Yesu, uwe mzima Efatha Efatha, uwe mzima Efatha Efatha, uwe mzima Inuka Inuka, uwe mzima Inuka Inuka, uwe mzima Efatha, woyoyoyo, uwe mzima Hey hey, uwe mzima Woyoyoyooo