Wanyamazishe Bwana
Rose Muhando
5:44Shukurani zangu kwa taifa la Kenya Viongozi wa Kenya Na wananchi wa Kenya Kwa kuokoa maisha yangu (Jawabu Studios) Uhuru, baba Uhuru We Uhuru, yabarikiwe malango yako Uhuru, baba Uhuru We Uhuru, yabarikiwe malango yako Kenya Kenya, ulindwe Ulindwe, Kenya ulindwe Milele ulindwe Ifanikiwe mipaka yako Ulindwe, Kenya ulindwe Milele ulindwe Ifanikiwe mipaka yako Malango yangu ulifungua Mikononi ukanipokea Kenya ukanihurumia Yabarikiwe malango yako Mikono yako ulikunjua Ukanisaidia Kenya ukanihurumia Yafanikiwe malango yako Cha kukupa sina Mali sina Chochote sina Ubarikiwe malango yako Uwezo sina Mali sina Nakuombea kwa Mungu Baba Yabarikiwe malango yako Uhuru, baba Uhuru Rais Uhuru, yabarikiwe malango yako Narudia Uhuru, tena Uhuru Wewe Uhuru, ifanikiwe mipaka yako Kenya, ulindwe Kenya, ulindwe Kenya, ifanikiwe mipaka yako Uhuru, baba Uhuru We Uhuru, yabarikiwe malango yako Uhuru, baba Uhuru We Uhuru, yabarikiwe malango yako Kenya Kenya, ulindwe Ulindwe, Kenya ulindwe Milele ulindwe Ifanikiwe mipaka yako Ulindwe, Kenya ulindwe Milele ulindwe Ifanikiwe mipaka yako Mbingu zinene mema Kwa ajili yako zinene mema Kwa wakenya zinene mema Yabarikiwe malango yako Mbingu ziseme mema Kwa wakenya zinene mazuri Kwa kizazi zinene mema Wabarikiwe watoto wako Eeh Mungu ikumbuke Kenya Ibariki Kenya Pamoja na malango yake Eeh Mungu ibariki Kenya Ikumbuke Kenya Pamoja na kizazi chake Uhuru, baba Uhuru Uhuru, ubarikiwe taifa lako Uhuru, tena Uhuru Nasema Uhuru, ubarikiwe taifa lako Kenya, inuliwa Kenya Barikiwa Kenya Pamoja na watoto wako We Kenya, nasema Kenya Barikiwa Kenya Pamoja na kizazi Yelelele baba Uhuru, baba Uhuru We Uhuru, yabarikiwe malango yako Uhuru, baba Uhuru We Uhuru, yabarikiwe malango yako Kenya Kenya, ulindwe Ulindwe, Kenya ulindwe Milele ulindwe Ifanikiwe mipaka yako Ulindwe, Kenya ulindwe Milele ulindwe Ifanikiwe mipaka yako Mungu, awe adui wa adui zako Na mtesi wa watesi wako Apigane kinyume nao Mungu, awe adui wa adui zako Na mtesi wa watesi wako Apigane kinyume nao Uhuru, baba Uhuru Rais Uhuru, yabarikiwe malango yako Kenya, leo Kenya Milele Kenya, ifanikiwe mipaka yako Uhuru, baba Uhuru We Uhuru, yabarikiwe malango yako Uhuru, baba Uhuru We Uhuru, yabarikiwe malango yako Kenya Kenya, ulindwe Ulindwe, Kenya ulindwe Milele ulindwe Ifanikiwe mipaka yako Ulindwe, Kenya ulindwe Milele ulindwe Ifanikiwe mipaka yako Mungu ibariki nchi ya Kenya Bariki taifa la Kenya Viongozi wa Kenya Waimbaji wa Kenya Na madaktari wa Kenya