Nakwenda Wapi
Rose Muhando
8:01Nawauliza ninyi sasa mnaojikweza, Hivi kweli mnajua ni nini mwisho mwisho wa maisha yenu? Mnakula, mnakunywa lakini mbona hamfikirii? Majigambo na dharau mi ubatili mtupu Nawauliza ninyi sasa mnaojikweza, Hivi kweli mnajua ni nini mwisho mwisho wa maisha yenu? Mnakula, mnakunywa lakini mbona hamfikirii? Majigambo ... na dharau ni ubatili mtupu! Mwawadharau masikini wasiojiweza; Neno lake Bwana Mungu ni upuuzi kwenu; Mwawadharau Wahubiri wanapohubiri; Injili yake Bwana Mungu ni upuuzi kwenu Eti! Mwajidanganya mwasema ponda mali Kufa kwaja mmebobea kwenye dhambi kama wapumbavu Vipofu msioijua njia mnayoiendea Sasa geukeni! Poleni kwenu sasa kwa kuwa mmehubiriwa (Furaha) Furaha mliyo nayo itageuka msiba kwenu (Chakula) Chakula cha anasa kitageuka mwamba wenu (Sekese) Sekeseke kwa matajiri mwajipata mwalipwa pesa zenu Poleni kwenu sasa kwa kuwa mmehubiriwa (Furaha) Furaha mliyo nayo itageuka msiba kwenu (Chakula) Chakula cha anasa kitageuka mwamba wenu (Sekese) Sekeseke kwa matajiri mwajipata mwalipwa pesa zenu (Visambutu)Kisambu kwa wake zenu wa mashabiki jinsi tabia Eeeeh Walikuwepo matajari kama wewe Wametoweka Ni wazuri sana(ila sasa) lakini wako wapi sasa Hawako tena Walikuwepo una wasomi kama wewe Wametoweka Ni wazuri sana(ila sasa) lakini wako wapi sasa Hawako tena Kilikuwepo na warembo kama wewe Walitoweka Ni wazuri sana (ila sasa) lakini wako wapi sasa Hawako tena Walikuwepo kwa waimbaji kama mimi Rose Wametoweka Ni wazuri sana (ila sasa) lakini wako wapi leo Hawako tena Lakini Yesu kwa huruma anakubembeleza Yesu eh Yesu yupo msalabani alisema njooni kwangu Nitawasamehe dhambi Nitabeba mizigo yenu Ogopa kitimutimu Siku yakuja kuuliwa Yesu yupo msalabani Anasema njooni kwangu Nitawasamehe dhambi Nitabeba mizigo yenu Ogopa kitimutimu Siku yakuja kuuliwa Kasheeshe kwa watakaobaki kwenye viti kuu Dunia hii isikudanganye Mama (Uelewe) Anasa zote za dunia ni za muda Halleluyah Muamini Yesu Bwana wangu akuokoe Uelewe Yeye ni Bwana tena mueza wa yote Halleluhya Dunia hii isikudanganye Baba (Uelewe) Anasa za dunia zote zinapitaga Halleluyah Muamini Yesu Bwana wangu akusamahe Uelewe Yeye ni Bwana tena mueza wa yote Halleluhya Tazama Yesu kwa huruma anakubembeleza Yesu eh Yesu yupo msalabani alisema njooni kwangu Nitawasamehe dhambi Nitabeba mizigo yenu Ogopa kitimutimu Siku yakuja kuuliwa Yesu yupo msalabani Anasema njooni kwangu Nitawasamehe dhambi Nitabeba mizigo yenu Ogopa kitimutimu Siku yakuja kuuliwa Kasheeshe kwa watakaobaki kwenye viti kuu