Amefanya Mungu
Paul Clement
5:12Mimi ni yule niliyekuja jana Nikaleta maombi madhabahuni pako Mimi ni yule niliyekuja na kitabu Kilichojaa machozi ila sikuandika kitu Mimi ni yule niliyeleta hoja Zisizozungumzika ila ulinielewa Nimerudi kwako kusema asante Maana yote niliyoyaomba yametokea Hata nashindwa kulala moyo umejawa shukurani Nikikumbuka mema yote uliyonitendea Asante kwa jana maana ilinifundisha Napaswa kuvumilia wala sikunung'unika Asante kwa leo umenisimamisha Nimeketi na wakuu Bwana umeniheshimisha Baba nimeona (Wema wako) Hayo ni matendo yako (Nashukuru Baba) Sina maneno ya kusema (Wema wako) Kweli ni wema wako (Nashukuru Baba) Ooh ouu oh (Asante) Asante (Asante) Asante (Asante) Asante (Asante) Asante (Asante) Asante (Nashukuru) Sina maneno ya kusema (Asante) Asante (Asante) Asante (Asante) Asante (Asante) Asante (Asante) Nashukuru (Nashukuru) Ni kweli ukiahidi unatimiza Wewe si mwanadamu hata useme uongo Ahadi zako kweli, ni kweli na Amina Ukisema ndio hakuna wa kupinga ooh Bwana (Asante) Asante (Asante) Asante (Asante) Asante (Asante) Asante (Asante) (Nashukuru) Bwana asante (Asante) Nashukuru (Asante) Asante (Asante) Asante (Asante) Asante (Asante) (Nashukuru) Kwa wema wako (Asante) Asante (Asante) Asante Bwana (Asante) Asante Yesu (Asante) Asante (Asante) (Nashukuru) Aaaaaa (Asante) (Asante) Asante (Asante) Asante (Asante) Asante Mungu wangu (Asante) (Nashukuru) Kwa yote umetenda kwangu Asante Bwana wangu Asante kwa pendo lako La thamani Asante Mimi ni yule niliyekuja jana Nikaleta maombi madhabahuni pako Mimi ni yule niliyekuja na kitabu Kilichojaa machozi ila sikuandika kitu Mimi ni yule niliyeleta hoja Zisizozungumzika ila ulinielewa Nimerudi kwako kusema asante Maana yote niliyoyaomba yametokea Nimerudi kusema asante Nimeyaona kwa macho Matendo yako asante