Wa Mwangaza
Sheizard
3:09Yesu we ndio ngima We ndio njia Yesu we ndio mwamba We ndio taya Yesu we ndio ngima We ndio njia Yesu we ndio mwamba We Ndio taya Utukufu wa dunia unakusifia Tazama Jinsi Jinsi unavyopendeza Milele na milele lele unang'aa Hili basi barua la penzi langu kwako Nikikupa pesa hutokithamini Dhahabu na pesa hayana thamani Ona jinsi mapenzi yako mmeniweka huru Tena tena nawezakuja na ujasiri Eh! ayaesh ayaneh, ayaesh ayaneh Eh! ayaesh ayaneh, ayaesh Yesu wewee Yesu we ndio ngima We ndio njia Yesu we ndio mwamba We ndio taya Yesu we ndio ngima We ndio njia Yesu we ndio mwamba We Ndio taya Uliona nini eh milima Uliona nini ukaruke ka kondoo, eeeh Kwani kuna nini Kwani kuna nini eh bahari Kwani kuna nini ukakimbie You see! he is fire Jesus you are fire You are water Jesus living water Kwani kuna nini ukakimbia Kwani kuna nini eh bahari Kwani kuna nini ukakimbia Kwani kuna nini eh bahari Nikikupe pesa hutokithamini Dhahabu na pesa hayana thamani Yesu we ndio ngima We ndio njia Yesu we ndio mwamba We ndio taya Yesu we ndio ngima We ndio njia Yesu we ndio mwamba We Ndio taya