Niwaze (Feat. The Mafik)
Ruby Afrika
3:44Kigori, ushanipiga roba kabali Silali, penzi nshacheza kamali Natupa kwako dolali Kwengine sina habari Penzi lako tamu tamu tamu tamu hatari Sipendi kuona ukinuna we ndo furaha yangu mie (mie mie) Yani penzi lako tamu tamu hatari Unanikosha pale aeeh Unavonyumbulika nyumbulika on bed Yani dosalale, umeniweza kabisa sijiwezi I'm yo passenger ooh, passenger ooh baby I'm yo passenger ooh, passenger ooh baby I'm yo passenger ooh, passenger ooh baby Unavyosakata unanikuna mama Eh Umenilevya na body Sio chakakacha, wacheza kila ngoma I wanna marry you, marry you (Uuh) Ukinitazama jicho la maringo (Eeh) Me nachapa fimbo Ukiinama, ukiinuka fimbo Sipendi kuona ukinuna we ndo furaha yangu mie (mie mie) Yani penzi lako tamu tamu hatari Unanikosha pale aeeh Unavonyumbulika nyumbulika on bed Yani dosalale, umeniweza kabsa sijiwezi I'm yo passenger ooh, passenger ooh baby I'm yo passenger ooh, passenger ooh baby I'm yo passenger ooh, passenger ooh baby