Ujasiri
The Messengers Ministers
4:36Ewe Bwana wa mabwana Ndiwe tumaini letu Katika safari yetu Kwenye njia ya injili Dhoruba yajapo vuma Wewe kimbilio letu Msaada wa karibu Katika safari yetu Ewe Bwana wa mabwana Ndiwe tumaini letu Katika safari yetu Kwenye njia ya injili Dhoruba yajapo vuma Wewe kimbilio letu Msaada wa karibu Katika safari yetu Roho mtakatifu Kiongozi mwaminifu Uwe msaada kwetu Safari ijapo ngumu Sisi tuwasafiri Duniani sio kwetu Tutangaze habari njema Bwana yuko mlangoni Roho mtakatifu Kiongozi mwaminifu Uwe msaada kwetu Safari ijapo ngumu Sisi tuwasafiri Duniani sio kwetu Tutangaze habari njema Bwana yuko mlangoni Msafiri songa mbele Siogope safarini Ulinde imani yako Twakaribia nyumbani Piga vita vya imani Ulinde imani yako Tumefika ukingoni Taji zinatungojea Msafiri songa mbele Siogope safarini Ulinde imani yako Twakaribia nyumbani Piga vita vya imani Ulinde imani yako Tumefika ukingoni Taji zinatungojea Roho mtakatifu Kiongozi mwaminifu Uwe msaada kwetu Safari ijapo ngumu Sisi tuwasafiri Duniani sio kwetu Tutangaze habari njema Bwana yuko mlangoni Roho mtakatifu Kiongozi mwaminifu Uwe msaada kwetu Safari ijapo ngumu Sisi tuwasafiri Duniani sio kwetu Tutangaze habari njema Bwana yuko mlangoni Roho mtakatifu Kiongozi mwaminifu Uwe msaada kwetu Safari ijapo ngumu Sisi tuwasafiri Duniani sio kwetu Tutangaze habari njema Bwana yuko mlangoni Roho mtakatifu Kiongozi mwaminifu Uwe msaada kwetu Safari ijapo ngumu Sisi tuwasafiri Duniani sio kwetu Tutangaze habari njema Bwana yuko mlangoni