Packe (Remix)
Thirtyfourbrick
2:48Niko gwethe utanipata zime ngwata Mafala me ndo naleta marada Patikana zanabe na dagger Uki dandiwa uta call mkanya Niko gwethe utanipata zime ngwata Mafala me ndo naleta marada Patikana zanabe na dagger Uki dandiwa uta call mkanya Kilele ni ya kilalo na bado ni fresh aluta Kwa nywele ni matuta nimesuka Tukifika jua ni magunga zitanuka Huezi sema nita juta na bado narauka Utanipata nimesunda natafutwa Dikwara nazisunda kwa mugunda nazikula Hatuezi tuka fwanana Niko lembe we bado uko nyuma Yut ni mang'aa Kila saa ni zingira kufucha Tuli dandiwa Makadara kaa zimeshuka Hali ya kujuta ni kustuka Siwezi fanya shugli na mambleina Kuna mafala wanafa wanaganda wanagenya Nikaa nda hamia Uganda Napenda kuzi washa nikaa nazi meesha Iki kosa kujipa kuchai nda apply pressure Niko gwethe utanipata zime ngwata Mafala me ndo naleta marada Patikana zanabe na dagger Uki dandiwa uta call mkanya Niko gwethe utanipata zime ngwata Mafala me ndo naleta marada Patikana zanabe na dagger Uki dandiwa uta call mkanya Scene ikipigwa kaa si bro ni me wanashuku Dem yako akinicheki jo anashikwa na kutu Huwezi pata nimeparara niko juu ya luku Zimeshika najitepa tu majungu Tunajua ni rachet amekaza kizungu Masanse wanani search but we unaeza ni Google Kaa sio nyoi natokea na marungu Na sivuti slim navuta tu marungu Niko gwethe nilichorea mafuaka Nipate kwa chuom nikiseti tu mangwaka Daily ni maganji na zisaka Sijai kuwa sober daily jo nawaka Pussy boy hana ganji amepaka Vile na ball wanadhani me ni Kaká Pussy boy amepaka Vile jo naball wanadhani nachezea Barca Niko gwethe utanipata zime ngwata Mafala me ndo naleta marada Patikana zanabe na dagger Uki dandiwa uta call mkanya Niko gwethe utanipata zime ngwata Mafala me ndo naleta marada Patikana zanabe na dagger Uki dandiwa uta call mkanya Huku tumekam na fujo Utadhani ni storm Tunawaka ka fire stone Atuwezi fanana ka uniform Usijione chimney enda ka reform Ulipewa mboka ukashindwa ku perform Sina ubaya siezi ku harm Hii side unapaka za kawarm Unanuka ka chill kwa sewerage farm Sina kelele mi si alarm Kukuokolea labda uende kwa donation Zimenyce naona ma illusion Ka ma bunny ni wengi napiga migration Wacha kulenga tebu pin location Siezi land bila invitation Si tuko riang hatuwezi kosa formula Hakuwezi kalika bila moolah Kazi niku medi na kukula Uki ng'ora mbogi tuna ku purura Niko gwethe utanipata zime ngwata Mafala me ndo naleta marada Patikana zanabe na dagger Uki dandiwa uta call mkanya Niko gwethe utanipata zime ngwata Mafala me ndo naleta marada Patikana zanabe na dagger Uki dandiwa uta call mkanya