Chinje
Toxic Lyrikali
3:32Niko kwa lift ime haribika njia naeza enda ni juu Auskii nilishapita mawingu dush Najua we ubambika ukiskia nika naeza loose Auskii tulishapita stage ya mamoods Ni poa kukua na watiaji around Atleast akifeel jealous we unafeel proud Na ka atasnitch unamgeuza upside down Na msumari ukutani fala unam mount Uskai doubt Shugli zetu azijai kuwa na clown Napenda kua the odd one out Sipendi kua the talk of town Madam mwili check sura ni red card foul Si tuko 100 wako 50 Pole kila msee alipanda sai tuko thao wako 60 Wajai grow bado hao ni maseedling Ass licking ndio wanapenda kudu hao mapickney We burn boyz Atuezi kua last last Not first na ganji fat ka Gwash man Young and bad niite Eric Cartman Screw you area yetu East Park Tuna burn boyz Atuezi kua last last Not first na ganji fat ka Gwash man Young and bad niite Eric Cartman Screw you area yetu East Park Skuizi atujui hoes na streets Tunajua na ceiling Ndio kudonjo ndio kuwasili Btw niko na ndugu anaitwa Syndey Mess one dial nakufanya non-existing Nguna kenye unataka utapata lakini si kwangu Team mala na sembe pizza mi uskia kwa watu Nawasha redio napata ametuma salamu Ni kunare na iezi zima ni ka jienamu Amkeni mkajenge nchi Mi na mbogi yangu tutaingia night shift We affi stand strong Hatutingiki Mziki believe me mzi times sixty Money talks na zangu zina sema ni wa cut off She's a hoe bora alinigawia ka ameshika toes Ako box nguna wako ye ushinda amenicall Not a joke nilimpiga chain left kwa kikos Cheki glock moja kinena ingine ndani ya socks Sina roho ivo ndo jirani unidescribe kwa ma opps Sina doh stingy ka we si wangu sitoi form Lyrical simple staki more We burn boyz Atuezi kua last last Not first na ganji fat ka Gwash man Young and bad niite Eric Cartman Screw you area yetu East Park Tuna burn boyz Atuezi kua last last Not first na ganji fat ka Gwash man Young and bad niite Eric Cartman Screw you area yetu Shawrie utoka mbali ndio anione Kimberly Ikianzia home naanza na Charity Marafiki wa kike ndio unitoleanga baridi Matendo za kasisi na sura ya gaidi Unasema we ni untouchable Ntakushika adi maini Na nini Kiburi nakutulizia na pistol Ntakueka chini amini usi amini blow dem pickinies