Aroma (Sewersydaa)
Wakadinali
3:14(Ayo Chino, you again?) Avoid those people Wenye hawakusaidii hawaezi kukujenga Avoid those people Juzi nilikula moro hadi sanse wakahepa Avoid those people (Avoid them) Cold Nairobi still naroweza Avoid those people Life ni bure survival lazima Avoid those people Wenye hawakusaidii hawaezi kukujenga Avoid those people Juzi nilikula moro hadi sanse wakahepa Avoid those people (Avoid them) Cold Nairobi still naroweza Avoid those people Life ni bure survival lazima Kuna msee aliuza pena ju alipura Tunauza nyama ya paka kwa mutura Naziuza mimi na Bena Backdoor tunapurura Ati niaje Dosh anaroll na manzi na ni chura? Niaje na ni Dosh, tungempiga picha but alificha sura Ndani ya pothole nilifall Na ni ju ya chingri We uko wapi niko na ndeng'a na si dikwara Fuck it, fuck it Nilifall in love na nigri Usiwai toka mbesh Chege hio ni swara Avoid those people Nilijam sanse akahepa Avoid those people Adam ningekuwa matheri hangependa Avoid those people I'm cold in Nairobi still naroweza Avoid those people Kuna matha ningemwokotea kibeti but angeniita thegi Ulikuwa unasema nini brathe Tumemwoket kuku blasé blasé Tuna sweeti tumerunda na bei Peremende sitakurunda ree Sa izo ka niko macho nyanya Walitry kunishika time ya Obama Jump on them huko Burma Walijifanya wanakula nyama Naibia Paul kulipa Peter kuwashow vile kamare imeshika Hao ni wa kuland walipotea tangu zile enzi za Greencard Riomo ni deadman na anatembea courtko aligongewa Last mile but execution huh, aliponea Drunken master ki Munga's way Modafucker from yesterday Badder si lazima dread Mi huchapa mpaka ananiita bae Anadai ye hunionanga baze hajaijuanga mi ni mnyama bed Si hutoka siaka mzee wakule vumbi si hatufiki bei Quality haishuki infact usikuje na ideas ka hautoi tukis Drillting kuna sisi wazee alafu kuna hao marookies (Yoh) Doobies si huwa hatutupi incase kuna ukame si huwa hatushtuki Jiji nyuma ya hizo buildings dead amekuona akapata shughli Mode alishuku akamuoket hadi backbench kunusa vidole Si huwasha maforeign every morning tukiendaga colle Nikiwa madrugs mi hukeep it Simple Boy huwezi pata verse ka haujalipa depo Pirate tulimtoka iPhone tukamwacha zero bila hata earphones Avoid those people Wenye hawakusaidii hawaezi kukujenga Avoid those people Juzi nilikula moro hadi sanse wakahepa Avoid those people (Avoid them) Cold Nairobi still naroweza Avoid those people Life ni bure survival lazima Avoid those people Wenye hawakusaidii hawaezi kukujenga Avoid those people Juzi nilikula moro hadi sanse wakahepa Avoid those people (Avoid them) Cold Nairobi still naroweza Avoid those people Life ni bure survival lazima Ushaibiwa na lightskin ukapata extra pressure ju ni rende ni ronger Mrazi aliingia box nimpone hio mali na vile nimekonda Mtaani ni genje coplo na geri wana different slogan Slim alibambwa na bail ilitoka na boy akatoka Tuesday morning nishawasha kishada prr ndio Munga anapiga Ashaniingisha orosho bag ni thao Saf wanashindwa mbona sijafuliza Mi na mastar ni hotbox Msela alidhani ni Maybach kumbe ni Probox Tunatingisha Barley na Chrome kiHunters Eh si unajua hii ni formal Rende niliskia kuna msee anatisha mmh Ju wakati imempita Lakini naskia masocialites mboka ikiisha Survival ni lazima Nilikula mali ya Njoro Ju Njoro alipiga makali akazima Nilimpiga kiswahili ya mtaa Mb*ro ya Mmeru na sauti ya Alikiba Bouti ni preacher God akibonga unajua utaskiza Rende ni ronger Bouti ni AD familia shrap imefika Bouti ni preacher God akibonga unajua utaskiza Rende ni ronger Bouti ni AD familia shrap imefika Eeh Kwa majina ni Papa Fathela Warazi wao hustuka niaje nilipenya Nikikafunga leo nasepa Ambia hao wasoro I'm going till December Mi ni Miracle baby nasema mokoro wa mi alishika mimba kwa kesha Kuna msela alijifanya seller Tukashika stock yote akatinga the wera Kuna shugli haitakangi mbogi Bado kifo haibishagi hodi Nilichokanga na window shopping Siku hizi wanalipa niwavalie clothing Ni kapyenga kananichoma lips Huwezi roll na sisi ju ulitrip We si gwangi buda we ni bitch Compe ni compe na compe ni stiff Ah! Breakfast in bed na niko na sidechic Rabuoni na stew ina curry Henny nacop juu wikendi ni shwari Shati Versace na imepigwa pasi Tangu enzi za daycare Nilikuwa natoka hawa watoi mabano Walishindwa kunihandle ka sufuria moto You know the boy been stubborn Avoid mafala wamejaa Ujinga ni ugonjwa wa kupona ni struggle Nikipullup lazima utanotice Mi huonekana kama Atwoli in purple Na hii dunia ina mambo Nikisota nakinda kidney ng'ambo Niko na TK bado top 3 kama jezi ya Carlos Mi huroll incognito, jicho nyanya mfuko nzito Madigaga ah za mbao ju mi huwa na avoid some people Unafaa kujichunga wadingo na ma cargo huwanga za imbo Makarao watapiga na pingu Na do biz na machinku Nairoberry kudiambo kwa traffic tinga mawindow Kula rada tafuna ritho ama utameza marithe Promoter junkie mwenye show make sure amekudunga ka depo Ati concert bila malipo ah ah na avoid hio risto Unafaa ku avoid those people Watakuekea mchele kwa disco Watakuingia mbosho ukishachemsha unafungwa chipo Yule boy huwa snitch Naskia ye hundonyo info Anajuana na mafiv-o ndio maana ye hutembeaga na pistol Woh oh leo sitaki matembo Niko maji kushinda Migingo Itabidi nianze kudetox yaani kupunguza stingo Waba imenifika shingo Ndio kwa maana niko indoors Natembea mtaa niki-tiptoe Ssshh na avoid those people Avoid those people Wenye hawakusaidii hawaezi kukujenga Avoid those people Juzi nilikula moro hadi sanse wakahepa Avoid those people (Avoid them) Cold Nairobi still naroweza Avoid those people Life ni bure survival lazima Avoid those people Wenye hawakusaidii hawaezi kukujenga Avoid those people Juzi nilikula moro hadi sanse wakahepa Avoid those people (Avoid them) Cold Nairobi still naroweza Avoid those people Life ni bure survival lazima Avoid those people Vijana ka sisi your mama told you ukituona hutuavoid Unachachisha na mamwiko Maseska vidungi ziko kinena Udj hapa hakuna toy Wikendi toja na olipo Ketepa na njugu saa zile hakuna vurugu ni kujienjoy Sinaga maneno na people Elisha Elai toka kitambo ndiomaanake I'm a simple boy Hizo vitisho zenyu mi siingizi Niko 20 na unaninyima usingizi Ni 4:20 kila siku huku withii Bila senti huku haupiti zii Hahahha... Hapa ukicheza dondi pupupu Nikipita wanageuka bubu Ju mada hapa ni kama Elani kukuku Way before kina Gidi already I was unbwogable Itabidi mpunguze bonga mob Ju mistari zenyu ziko terrible Here we go Extra pressure inazidi ju rende rong Iko jiji inatesa tu kila zone Hii riziki ya mziki itakuja call Tunasaka money mpaka Senegal Ka ni hater ni better uniavoid Ju ni ngeta utakulwa ukipatwa boy Wanateta tangu nianze leta voice Ju nageuza marapper wakae watoi Nakuja kijeshi, nikiroga wanadhani Vigetti Tunasonga hakuna kusleki Mi ndio thegi anasakwa Dando na Hessy This time I tripple Mi hufanya ukuwe cripple Ka doggy nakuita na whistle Avoid those people deng'a ndio weapon People infact venye mi huleta vitisho Ndani ya nganya mi hukuja kuwahanya Mistari niliandika kama nimetoka hangdown Venye rende ni rong mi hukam kuwashanda Most definitely after this ni matanga Routes ni za panya hakuna choche utanikosa Salute ju namute hao madem ju ya mboka Mi hutaka hio doh ka Omollo nai conquer Si accept-igi loss main goal ni kuomoka Tangu lini uskie queen ana-argue na mboch Of course mi ni boss nakanyaga ka roach Niliruka kwa mbaru nikadara huyo popo Nikamuacha akicheza na lotion Mbleina kwa sisi tunachomanga picha Ka santa natokaga usiku saa sita Usiku na lila ile ikilala italika Last victim kwa crime nilimwacha akiwika Ka mtoi kwa crip nilikeeper Hadi mchombez nilimuacha akijipa Nikamshow after this ni kulipa Underdog mi nawasmoke ka fog Ka bulldog nawamaster ka log We ni analog nakuombea kwa synagogue Then nakuweka kwa dustbin kuflog We ni monologue, ningedai alone Siwezi share throne mi ni ka hog Ka lapdog nawatuma kwa choo Then natokea kwa scene ka smog Psssht Man fuck those people Mi ukinicheki avoid me Nikiwaga riko na kibro ni kifo Lakini alidedi I'll join him Nina kilo kwa tiplo Na ng'ango hatusleki we boiling Mlishindaga Tiktok cheap talk Na kila time tukikutana hambongi Rong Rende ni vitimbi Hater alionanga majogi Huyu anakuwanga ni pimbi Kwanza, kwanza nilimpora na dogi Kile hunirudisha jiji Ni kukula Nyama choma Nairobi Mi nilipataga bibi kijana bado nakuona na mbogi, haha Baba unabonga na mabudeng' hapa lazma banga atakuja na mabunde Bangaiz na bangi ju hanaku rieng Jaba ikuwe inadi na andasu kuberr Hii ni wazea na mabudeng Wakiuliza ni jea najibu maberr Natoka wera narudi kwa wera Ni nini masela mnataka niwapee Hatuwezi fanana just look at us Huyo mama ananiramba na ananuka jasho Chini ya maji undercover nikivuta gas Na sisi hatujatupa rada ni kukula vako We piga pang'ang'a tunakuja kwako Kesho utanipata nimedunga chuja zako We si gangsta ati ju umefuga ras Na nikifika lawama si wanajua ni Narcos