Rong Cypher 3.0
Wakadinali
5:30Wah, si kupenda kwetu, si kupenda kwetu Si kupenda kwetu kujikaza inabidi, tryna get busy kila siku ya wiki (Si kupenda, si kupenda, si kupenda) (Ki-kila, kila siku ya wiki) Thought it would be easy nikifika jiji, lakini nikipata Mapambano si rahisi (Thought it would be, thought it would be easy, pata mapambano si rahisi) Si kupenda kwetu kujikaza inabidi, tryna get busy kila siku ya wiki (Si kupenda, si kupenda, si kupenda) (Ki-kila, kila siku ya wiki) Thought it would be easy nikifika jiji, lakini nikipata mapambano si rahisi Ukiipenda sana utaikinai, ukijianika sana pia watakuchai Heri uieke underground iitwangwe mine Yuh huniudhi kuona waafrika weusi wakijideny Kwenye tembe za whites na matie and dye Hata kijana mdogo anatry kunishow ati hi ni Nai Ati nigrow up, na the other day joh night Walipatikana na mkia ya neighbour walikua wameisanya Wakipatikana plain sight, sai mororo ndio dite Hakosangi roho lawyer wake amechoka kufight Appeal after appeal na jajiko alidai zae Labda hatupo 25 ama ikue life, ni kweli Enyewe hio violence haizai anything labda bye bye Relapse after rehab, refund hakunanga Piga seat-ups, toa hiccups unda space zingine za silaha Genocide sina, zana za ki nuclear nacome na vina Usitajarie nikue perfect ka miss bina Usinchukie ju ya rhythm na the fact that niko addicted na mziki na hio bizna Si kupenda kwetu kujikaza inabidi, tryna get busy kila siku ya wiki (Si kupenda, si kupenda, si kupenda) (Ki-kila, kila siku ya wiki) Utatupata street tukisaka unga ya keki Track ikiharibika hakuna spare hakuna breki Why are we overtaking, offer akija ni jeki Tulidhani ni easy, kila siku ni heavy Kumbe buda ni kesi, kesi zenyewe petty Juzi ilikua ni tasty, leo vitu ni shakey Iswa we paper chase, sai hata sicheki Mchezo hapa hatuleti, ukicheza tunakuteki Sai hawacross boundaries kuna wall Wanawonder how empire zinafall Yaani how, things zina unfold Hakuna mass, stone bado zinaroll Bila hesitation tuna kamilisha proper So fast, wanaingia tukitoka Bado tunaskuma hata kapunda amechoka Get closer upate kuuma offer Si kupenda kwetu kujikaza inabidi, tryna get busy kila siku ya wiki (Si kupenda, si kupenda, si kupenda) (Ki-kila, kila siku ya wiki) Mtu mzima ka mimi nkatoka Karatina Kuingia Nairo kusaka dinner, nkalink up na Roba Stoller nkajiarrest for life na mama pima Namkatia mbele ya maarif wake simvuti kando OG hakuna stand off na GK am humble Una bahati tuko leo, ingekua kitambo Ungeingiwa ukapi ju ya ka poko campo Am the new sheriff in town niite Moreno Still station ju ya ten bob, hapo rotejo From KE sent to S.A at a maximum speed Niko like fuck NTSA, siste ka unaishia si uishie ka unastay si ustay Last time kitu ulinifanyia ilinipeleka right stenje Kanairo unajua hatupandi miti, si hatupandi si hupanda buildings Heri ya wajanja pali ukiibiwa unareport kwa mwizi Ni usaidiwe ama pia unaweza doz kamiti Bado kwa mbao bila mbao na tunabond na mili Si kupenda kwetu kujikaza inabidi, tryna get busy kila siku ya wiki (Si kupenda, si kupenda, si kupenda) (Ki-kila, kila siku ya wiki) Thought it would be easy nikifika jiji, lakini nikipata Mapambano si rahisi (Thought it would be, thought it would be easy, pata mapambano si rahisi) Si kupenda kwetu kujikaza inabidi, tryna get busy kila siku ya wiki (Si kupenda, si kupenda, si kupend) (Ki-kila, kila siku ya wiki) Thought it would be easy nikifika jiji, lakini nikipata mapambano si rahisi