Niokoe
Wanenaji Music
3:50Mabadiliko Tumwamini Nani Tutazame wapi Ju ni kama kigogo Hatujali tena Wananchi wanalia hawana pesa Iweje mkombozi atatutesa No! Chakula, kodi na karo Zinaleta pressure Wanasema Mwanafunzi bora Kaibia mtihani Mbona hesabu ilikua hadharani Mwalimu mkuu au shule Tumlaumu Nani Twasaka unga Chakula kwa Sahani Hawana Kazi kilio mitaani Daily kwa vyombo vya Habari ni ufisadi We want change We don't want nothing else Sisi twataka Mabadiliko Wananchi wanalia Hawana pocket change Kenya tupate mapambazuko We want change We don't want nothing else Sisi twataka Mabadiliko Wananchi wanalia Hawana pocket change Kenya tupate mapambazuko Ulinidanganya last time Nidanganye this time Nenda Tafuta uongo mpya uniambie Ju punda ime choka aah Wananchi tunatoka Eti Ulinidanganya last time Nidanganye this time Nenda Tafuta uongo mpya uniambie Ju punda ime choka aah Wananchi tunatoka Wanasema Mwanafunzi bora Kaibia mtihani Mbona hesabu ilikua hadharani Mwalimu mkuu au shule Tumlaumu Nani Twasaka unga Chakula kwa Sahani Hawana Kazi kilio mitaani Daily kwa vyombo vya Habari ni ufisadi We want change We don't want nothing else Sisi twataka Mabadiliko Wananchi wanalia Hawana pocket change Kenya tupate mapambazuko We want change We don't want nothing else Sisi twataka Mabadiliko Wananchi wanalia Hawana pocket change Kenya tupate mapambazuko Ulinidanganya last time Nidanganye this time Nenda Tafuta uongo mpya uniambie Ju punda ime choka Wananchi tunatoka