Like I Do
Wanenaji Music
3:20Pesa God made man Man made money Money made man mad God made man Man made money Money made man mad God made man Man made money Money made man mad God made man Man made money Money made man mad Walisema nisikutafute Utajileta kwangu Wakasema hutoniacha Sabuni ya roho yangu Nikiwa nawe Matumizi huanga Kwa hiari yangu Ukisha toeka Marafiki Hawapo tena Mbona Mpenzi alitoeka aah Pesa mbona waleta presha aah Nahitaji pesa kupata pesa aah Pesa mbona waleta presha aah Nahitaji pesa kupata pesa aah Pesa nakutafuta Weh Kote unaenda mimi nakufuata Nauliza pesa mbona wanitesa Waleta maringo Ju wajua nakutaka Pesa nakutafuta Weh Kote unaenda mimi nakufuata Nauliza pesa mbona wanitesa Waleta maringo Ju wajua nakutaka God made man Man made money Money made man mad God made man Man made money Money made man mad God made man Man made money Money made man mad God made man Man made money Money made man mad Ooh wapenzi wengi Wametengana ju ya pesa Viongozi nao Kwa viti walimwaga pesa Nasomewa na mama mkwe Kisa maana sina pesa aaah Pesa mbona waleta presha Nahitaji pesa kupata pesa aah Nahitaji pesa kupata pesa Pesa nakutafuta Weh Kote unaenda mimi nakufuata Nauliza pesa mbona wanitesa Waleta maringo Ju wajua nakutaka Pesa nakutafuta Weh Kote unaenda mimi nakufuata Nauliza pesa mbona wanitesa Waleta maringo Ju wajua nakutaka God made man Man made money Money made man mad God made man Man made money Money made man mad God made man Man made money Money made man mad God made man Man made money Money made man mad