Popote (Feat. Vernyuy Tina)
Wini
3:02Masauti, Kenyan Boy Wini girl(Finest girl) Mama(Umenishika shika) (Its new cloneym on the track) Kama mapenzi tiba Basi kwako nimeshapona Kama mapenzi hasara Ooh basi faida sijaiona Kama mapenzi hesabu Basi kwako nimefeli Hakika kwako mi zuzu eeh Umenishika shika Beiby unanicontrol Umeniteka umeni-overdose Tukiwa kwenye show Wanivuruga kabisa kama chizi Oooh beiby unanicontrol Na vile ukinitazama kichozi Unanituliza fujo Ninakuwa mpole Unanimaliza beiby Umenishika shika Sina wa kumpa maana ushanichanganya Umenishika shika Na moyo wangu uko nyang'a nyang'a eeh Umenishika shika Usije ukanikimbia ukaniachia vumbi Umenishika shika Tekenya tekenya, tekenya Tekenya tekenya, tekenya Tekenya tekenya, tekenya Tekenya tekenya, tekenya (ch yii) Pongezi ziende kwa mganga cliyekufanya uniteke teke Wewe umeniua kwa upanga Tena ukanipiga kwa mateke Umenifunga minyororo Na kwako sipumui Umenifunga kabisa mdomo Na kwako siongei Beiby unanicontrol Umeniteka umeni-overdose Tukiwa kwenye show Wanivuruga kabisa kama chizi caah beiby unanicontrol Na vile ukinitazama kichozi Unanituliza fujo Mi nawa mpole aaah Unanimaliza beiby Umenishika shika(Shika) Sina wa kumpa maana ushanichanganya Umenishika shika(Shika beiby) Na moyo wangu uko nyang'a nyang'a eeh Umenishika shika(Shika ooh) Usije ukanikimbia ukaniachia vumbi Umenishika shika Tekenya tekenya, tekenya Tekenya tekenya, tekenya Tekenya tekenya, tekenya Tekenya tekenya, tekenya Nitakupa penzi la kiKenya(Tekenya) I go give you love vi da lover(Tekenya) Na unapotaka nitapenya(Tekenya) Mi ndo Kenyan boy Don dada(Tekenya) Nitakupa penzi la kiBongo(Tekenya) I go give you lovi da loker(Tekenya) Na unapotaka nitapenya(Tekenya) cm the finest girl from Tanzania(Tekenya) (The Mix Killer)