Raha
Marioo
3:28Yeah! Yeah, baba (Mafeeling make it) Najiona wa ajabu, eh Nikijitazama, hivi naota, ah, ama nachanganyikiwa? Joto nalo lashuka degree, waliniliza TBT Na moyo wangu nishakupa-na Na wewe ndio nahodha wa meli yangu Huhitaji CV, oh-oh-oh Atukinge Ya Ilahi tuwe salama, ah Atuepushe na mabaya ya wengine Maana, najiona, nachanganyikiwa, oh, nyikiwa Ndama, nanona, nanyonyeshwa maziwa, oh, maziwa Ah! Kama mapenzi ni Jihad, tuko peponi Kwa jinsi tulivyopambana na hali, yetu rohoni Kuna vijiba vya nafsi wale waroho, oh, waroho Wanaosubiri tuachane hata kesho, sisi bado Sisi bado Oh-oh-oh Oh, sisi bado, kuachana sisi bado Sisi bado, oh, oh, oh, ooh, woah Sisi bado, oh-oh Kwani na wewe ndio nahodha wa meli yangu Huhitaji CV, oh-oh-oh Atukinge Ya Ilahi tuwe salama, ah Atuepushe na mabaya ya wengine, yeah Maana, najiona, nachanganyikiwa, oh, nyikiwa Ndama, nanona, nanyonyeshwa maziwa, oh, maziwa, o-ho (The Mix Killer)