Baby Mpya (Feat. Zuchu)
D Voice
#VERSE Eti Baby kweli, Usiponiona Pumzi Inabananana Eti baby kweli, unaumisi utamu bananana Eti baby kweli, sa ka ndo hivyo kwanini twagombanana Au ndio ukweli, tamu na chungu ni raha ya kupendanana Hawajuii ooooh, baby raha unazonipa Wapi unanishika Na ndio maana mwengine sitaki Hawajuiii na nivyopenda sifa aaah Basi hapa bichwa Mana najuwa unanipenda na hauniachi Ninachotaka niwaambie ka unanipenda darli… Hautaki kuwa nami mbali Bila mimi hauwezi Basi niambie niwaambie wajue Ka unanipenda darl Usiku bila mi haulali Miye ndo wako mpenzi Basi niambie ni waambie wajue #CHORUS Tunapendana, tunapendana Tunapendana, tunapendana Tunapendana, tunapendana Tunapendana, tunapendana #VERSE Mimi, ni mimi hapa, ni Mbossokhan tena Penzi ni hadithi za sikununu Iwe kwenye furaha nyakati ngumu Penzi ni maradhi nishikwe pumu Nimkupenda we ashki majununu Usinifiche hadharani baby nichumu Mengine tuyafanye tukiwa room Haki ya mungu wallah ukinidhulumu Bombocraat nanyonga ndumu (Oooh wewe!) Sitaki nikukwaze usinikwaze Tukawapa maneno watutangaze Wengine wanangoja si kugombana (Oooh wewe!) Penzi kwenye kibaba lijaze jaze Mambo yakinikaba uniliwaze Leo tulemlenda kesho nyama Basi niambie ni waambie Ka unanipenda darli… Usiku bila mi haulali Bila mimi hauwezi Basi niambie niwaambie wajuwe Ka unanipenda darli… Usiku bila mi haulali Miye ndo wako mpenzi Basi niambie niwaambie wajue #CHORUS Tunapendana, tumependana Tunapendana, tumeshibana Tunapendana, tunajuana Tunapendana, niwaambie wajue Tunapendana, eeeeh! eeeh! Tunapendana, unanipenda baby Tunapendana, unanii love Tunapendana, love mimi