Vanity

Vanity

Daddy Owen

Альбом: Vanity
Длительность: 4:38
Год: 2021
Скачать MP3

Текст песни

Yote ni bure
Yote ni ubatili
Usinidharau

Namuona na gari kubwa kuliko shida zake
Namuona na wanawake (wanawake)
Alisema hakuna mungu watu wajipange
Anadhani ni nguvu zake
Akigonjeka dakitari anatoka ng'ambo
Akiboeka apo utaona mambo
Maombi kwake ni kelele
Ndio nimeona nikueleze

Ooh hashtag Nebucchadnezzar
Sauli pia atakueleza
Nasema hashtag Nebucchadnezzar
Haijalishi yale umewezaa

Yote ni vanity ooh ooh
Vanity ooh
Bila yesu ni vanity
Ooh ooh Vanity
Yote ni vanity ooh ooh
Vanity ooh
Bila yesu ni vanity
Ooh ooh Vanity

Namuona na sketi fupi kuliko miaka yake
Anataka tumeze mate
Alisema mmoja hawezi zima moto wake
Ana wanaume wanane
Haumpati kanisani ila ile siku ya harambee ya Asusu
Asusu eeh Asusu
Haamini mungu yupo yeye husema atalishwa na matunda ya usupu
Usupu eeh usupu

Nasema hashtag Nebucchadnezzar
Sauli pia atakueleza
Nasema hashtag Nebucchadnezzar
Haijalishi yale umewezaa
Yote ni vanity ooh ooh
Vanity ooh
Bila yesu ni vanity
Ooh ooh Vanity
Yote ni vanity ooh ooh
Vanity ooh
Bila yesu ni vanity
Ooh ooh Vanity

Usimdharau binadamu mwenzio
Kuwa eti wewe unapesa, mali na magari
Haya yote ni ubatili
Shukuru mungu kwa uhai
Usijisifu sana na huu mwili
Huu mwili ni chakula cha mchwa

Yote ni vanity ooh ooh
Vanity ooh
Bila yesu ni vanity
Ooh ooh Vanity
Yote ni vanity ooh ooh
Vanity ooh
Bila yesu ni vanity
Ooh ooh Vanity

Vanity vanity mbele za Bwana
Vanity vanity mbele za Mungu
Ubatili mbele za Mungu tuache
Kaa kaa kaa vizuri mbele za Mungu
Kaa kaa kaa vyema mbele za Bwana
Vanity vanity