Wewe Ni Mungu

Wewe Ni Mungu

Daddy Owen

Альбом: Wewe Ni Mungu
Длительность: 4:23
Год: 2021
Скачать MP3

Текст песни

Mmmh mambo mazito mazito
Nafsi yangu msifu Bwana!
Daddy Owen once again!

Mzali eh, Messiah
Mokano nayo esalema oseeh (Eeh Ozali)
Mzali eh, Messiah
Mokano nayo esalema oseeh

Wewe ni Mungu, usifiwe
Mapenzi yako yafanyike kote
Na kuishi kwangu ni we
Kulala kwangu ni we

Kuvaa kwangu ni wewe baba
Maisha yangu ni wewe, (baba ni wewe)
Uzima wangu ni wewe Yahweh
Hata kama sina pesa, hata kama sina mali

Hata kama sina, kwa mapenzi najua utatenda
Maisha yangu ni wewe, (baba ni wewe)
Uzima wangu ni wewe Yahweh (Eeh Ozali)

Mzali eh, Messiah
Mokano nayo esalema oseeh
Wewe ni Mungu, usifiwe
Mapenzi yako yafanyike kote

Yozali nzambe ya bolingo
Yozali nzambe ya boboto
Yozali nzambe
Yondeo bikisanga olongolanga napasii

Ozali nzambe ya bolingo
Ozali nzambe ya boboto
Ozali nzambe ya bikisakaa
Yobikisa bikisa

Yozali nzambe ya bolingo
Yozali nzambe ya boboto
Yozali nzambe
Yondeo bikisanga olongolanga napasii

Ozali nzambe ya bolingo
Ozali nzambe ya boboto
Ozali nzambe ya bikisakaa (Eh Ozali)

Mzali eh, Messiah
Mokano nayo esalema oseeh
Wewe ni Mungu, usifiwe

Mapenzi yako yafanyike kote
Wewe ni Mungu, usifiwe
Mapenzi yako yafanyike kote mi