Enda Nasi (Feat. Sifa Voices)
Reuben Kigame
Umeahidi wewe bwana... huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni mungu uliye mwaminifu siku zote Mimi ninaiweka imani yangu kwako baba Nipitiapo maji mengi mengi au moto huniachi Unalijua jina langu ewe bwana huniachi (halleluyah) Unatengeneza njia hata mito kule shambani wewe ndiwe alpha na omega huniachi Huniachi Umeahidi wewe bwana... huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni mungu uliye mwaminifu siku zote Mimi ninaiweka imani yangu kwako baba Uliwalinda Waisiraeli kule jangwani Ukamtoa Danieli kutoka jumba la simba Wewe huwainua na wanyonge siku zote Watu wepusha na hatari kila siku usifiwe Umeahidi wewe bwana... huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni mungu uliye mwaminifu siku zote Mimi ninaiweka imani yangu kwako baba Baba hata mama huwa nawe na kuniacha Marafiki nao wanaweza nigeuka mara kwa mara maadui wanizunguka nitaishi kwa ahadi yako bwana huniachi huniachi Umeahidi wewe bwana... huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni mungu uliye mwaminifu siku zote Mimi ninaiweka imani yangu kwako baba Umeahidi wewe bwana... huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni mungu uliye mwaminifu siku zote Mimi ninaiweka imani yangu kwako baba Umeahidi wewe bwana... huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni mungu uliye mwaminifu siku zote Mimi ninaiweka imani yangu kwako baba