Likizo
Aslay
4:29Hmm—hmm Oh—no—no—no Jay once again Penzi zito kilo mia hamsini Vile napata raha utaniambia nini Kuna muda kama siamini Na kuna muda ni ka napendwa na jini Maana penzi lako ndege mtini Niko matawi ya juu nisha tulia mimi For your love let me sing—sing Nishakolea hatari mapenzini Tamu pipi ya kijiti (ah—han) Ukilamba unacheka Na kibaridi hiki Niozesheni hata ndoa ya mkeka Penzi halishikiki (an—han) Linavyotetemesha Si tufunge muziki Nikuonyeshe jinsi Nnavyocheza Mi na mapoz na mimi Mapoz nami, mi na mapoz nami Mapoz nami, mi na mapoz nami Mapoz nami, mi na mapoz nami Mapoz nami, mi na mapoz nami Mapoz nami, mi na mapoz nami Mapoz nami, mi na mapoz nami Mapoz nami, mi na mapoz nami Mapoz nami, mi na mapoz nami Na sio ndumba waala raha tuu zimenizidi Sio mambo ya mitala, penzi mwenye nafaidi Oh, nalishwa nalala, nakumbatwa kwa baridi Usinione nang'ara natunzwa Alhabibi, oh—ooh) Matikiti kudondoka, matikiti kudondokea Marafiki huwa ni nyoka, hivyo chunga wanayo ongea Nikandekande nikichoka, sio narudi unanifokea Wenda mwenzio nilipotoka, mambo fyongo hayaja ninyokea Tamu pipi ya kijiti (ah—han) Ukilamba unacheka Na kibaridi hiki Niozesheni hata ndoa ya Mkeka Penzi halishikiki (ah—han) Linavyotetemesha jamani Si tufunge muziki Nikuonyeshe jinsi navyocheza Mi na mapoz na mimi Mapoz nami, mi na mapoz nami Mapoz nami, mi na mapoz nami Mapoz nami, mi na mapoz nami Mapoz nami, mi na mapoz namimi Mapoz nami, mi na mapoz nami Mapoz nami, mi na mapoz nami Mapoz nami, mi na mapoz nami Mapoz nami, mi na mapoz namimi Ngoja, huu ni usiku au mchana? Hold up, hii ni leo au ni jana? Mapoz nami, ah, unanikumbusha ujana Roho unavyoirusha ntakuja kufa msichana Nimepagawa uwanjani na sijui ngapi—ngapi Refa ni nani mbona mpira hauji kati Nichague kijani, yellow au papi Au nije muda gani ili niende na wakati Unawakanya mabishoo Kitandani unanipa show mpaka nasahau show (ah—wee) Unanchanganya kwenye roho, usije kun'danganya, no Weka penzi niweke Doo (ah—wee) Mapoz nami we na mapoz nami Mapoz nami we na mapoz nami Mapoz nami we na mapoz nami Mapoz nami we na mapoz na mimi Mapoz nami mi na mapoz nami Mapoz nami mi na mapoz nami Mapoz nami mi na mapoz nami Mapoz nami mi na mapoz na mimi Mapoz nami mi na mapoz nami Mapoz nami mi na mapoz nami Mapoz nami mi na mapoz nami Mapoz nami mi na mapoz na mimi Eyoo Zombie What it do? We back Number moja, moja, moja, moja Hii ni sauti ya Rais Yani President Haujui (Wasafi)