Dance (Feat. Jay Melody)

Dance (Feat. Jay Melody)

Rayvanny

Альбом: Flowers Iii
Длительность: 3:50
Год: 2023
Скачать MP3

Текст песни

(E-E-EMB record) Chui
Ooh (ooh) Jay once again
(Beat ya messes)
(Oh my baby, dance, dance like that)
(Baby, dance, dance like that)
(Oh my baby, dance, dance like that)
(Dance like that) Soundboy

Umeniteka, oh my-my-my-my
Ukiondoka, nita die-die-die-die-de
Napenda kitumbua chai-chai-chai-chai
Nimekupa mbawa, fly-fly, fly-fly

Urembo wako, oh
Nikikuona inadunda roho
Tabasamu lako, ooh
Sijiwezi umenikaba koo
What can I do without you, baby boo, uh?
Ni wewe tu, barafu, beautiful, uh (eeh)

Nampenda huyu, ataniua huyu
Kiboko yangu, roho yangu huyu, tamu yangu huyu
Nampenda huyu, ataniua huyu
Kiboko yangu, roho yangu huyu, tamu yangu huyu

Baby, dance, dance like that
Baby, dance, dance like that
Oh my baby, dance, dance like that
Dance like that

Oh my baby, dance, dance like that
Baby, dancе dance like that
Oh my baby, dance, dance like that
Dance like that

Nipe, baby, mapenzi ya Tanga, huko kunani?
Are you ready? Niko na mbawa tupae angani
Ati moyo wangu mimi, umekumbwa na kitu gani
Yaani siwezi, bila ya wewe maishani

Hizi hisia, kama utamu, sukari guru
Ni'shakuwa sijiwezi, acha tu nipige nduru
Hizi hisia, kama utamu utamu, sukari guru
Ooh penzi juu ya mapenzi, yanawaka kama nuru

Baby, oh-ooh
Nampenda huyu, ataniua huyu
Kiboko yangu, roho yangu huyu, tamu yangu huyu (baby, oh-ooh)
Nampenda huyu, ataniua huyu
Kiboko yangu, roho yangu huyu, tamu yangu huyu

Dance, dance like that
Baby, dance, dance like that
Oh my baby, dance, dance like that
Dance like that

Oh my baby, dance, dance like that
Baby, dancе dance like that
Oh my baby, dance, dance like that
Dance like that

Ooh, ah-aah
Ooh, ah-aah
Simuachi, sitaki
Huu utamu wa mapenzi, n'taupata wapi?
Ooh, simuachi, sitaki
Kwa utamu wa mapenzi, niende wapi?

(Kamixlizer)