Love You Die (Feat. Diamond Platnumz)
Patoranking
3:16Nenda kamwambie Jinsi navyo mpenda mi Na kama mapenzi bado Mwambie ntayaongeza mi Nasema kamwambie Jinsi navyo mpenda mi Na kama mapenzi bado Mwambie ntayaongeza mi Sio ningie mori, nyota, na mbala mwezi Kwa vile mali yake yeye Natamani ila tatizo siwezi Huenda ingefanya nielewe Si alinifunza mapenzi, nilikuwa sijui kamwambie Akanidekeza kishenzi, kwa nyimbo nzuri Nimwimbie So asidanganywe na gari burudani na fedha, Mimi akanichukia Akalishusa thamani penzi nalompenda, kisa Mvinyo na bia Asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi Akanichukia Mmmh, mwambie asisikie mapenzi, moyo Wangu unaumia, eeh Nenda kamwambie Jinsi navyo mpenda mi Na kama mapenzi bado Mwambie ntayaongeza mi Nasema kamwambie Jinsi navyo mpenda mi Na kama mapenzi bado Mwambie ntayaongeza mi Nasema siku hizi hakuna fungate, mapenzi Hayana thamani Hivyo mwambie wanaopenda wachache, wengi Watamani Uuuh, wanaanzaga kwa tafadhali, wakishapewa Wanapotea Mmh, nenda mwambie ajihadhari, na dua njema Nawombea So asidanganywe na gari burudani na fedha, Mimi akanichukia Akalishusa thamani penzi nalompenda, kisa Mvinyo na bia Asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi Akanichukia Mmmh, mwambie asisikie mapenzi, moyo Wangu unaumia, eeh Akamwambie Nenda kamwambie Jinsi navyo mpenda mi Na kama mapenzi bado Mwambie ntayaongeza mi Nasema kamwambie Jinsi navyo mpenda mi Na kama mapenzi bado Mwambie ntayaongeza mi Yeah, I was being around, but thanks, Bob Junior Mr Chocolate Flava, now I am here Sharoboo records It's Diamond Platinumz baby Holla Back Ladies, It's time to hang on to your love