Ametenda Maajabu, Pt. 2
Fanuel Sedekia
4:27Tumekuja! Tumekuja nyumbani mwako kulitukuza jina lako na kukwabudu ×2 Tumekuja nyumbani mwako na kukwabudu wewe kukwabudu maana ndiwe kristo bwana Tukasahau nafsi zetu Tukakuwaze wewe tu na kukwabudu ×2 Tukasahau nafsi zetu tukakuwaze wewe tu na kukwabudu wewe kukwabudu maana ndiwe kristo bwana Wewe ni mtakatifu wangu ninasimama mbele zako na kukwabudu ×2 Wewe ni mtakatifu wangu nasimama mbele zako na kukwabudu wewe, kukwabudu maana ndiwe kristo bwana Maana ndiwe kristo bwana ×2 Kristo bwana! ×5 kukwabudu wewe kukwabudu maana ndiwe Kristo Bwana Wewe ni mtakatifu wangu ninasimama mbele zako na kukwabudu Wewe ni mtakatifu wangu ninasimama mbele zako na kukwabudu Wewe ni mtakatifu wangu nasimama mbele zako na kukwabudu wewe, kukwabudu maana ndiwe kristo bwana Maana ndiwe Kristo Bwana Maana ndiwe Kristo Bwana Kristo Bwana! Kristo Bwana! Kristo Bwana! Kristo Bwana! Kristo Bwana!