Vibration
Fireboy Dml
3:19Acheni nilie nae nimeridhika Nipigwe mawe mtanizika Acheni nikeshe na yeye usiku kucha Atake nywele mi nitamsuka Ona aiyoo niliomba tone Umejaza pipa Uchawi huo nazima data Jumbe zinafika Mwenzio umekoleza wino hautofutika Mi kiportable ila busu lako mi nafutuka Niwe wewe Niwe wewe Niwe wewe Kwako sina songombingo Niwe wewe Niwe wewe Niwe wewe wewe Wacha wanikate hata shingo Niwewe wewe Wewe Niwewe wewe Wewe Ni wewe wewe Kama kisiki cha mpingo Niwewe we we we Niwewe we we we Niwe wewe weee Nigalagaze mi ni wakoo Ooh wowoo Nana naaa nana naanaaa Nana naaaa nana nanaana Kama soccer nimetuliza boli Sipigi dana dana nimetuliaa Nimetuliaa We okocha unipige kadari Basi tobo malizia Mmmmh Ayo maringo Mwenzako ukintazama kodo nakodoa Mi nakodoaa Nyuma kifundo Eti kasura umekapodoa Umekapodoa Ona aiyoo niliomba tone Umejaza pipa Uchawi huo nazima data Jumbe zinafika Mwenzioo umekoleza wino hautofutika Mi kiportable ila busu lako mi nafutuka Niwewe we we Niwewe we we Niwewe we weee Kwako sina songombingo Niwewe we we Niwewe we we Niwewe we weee Wacha wanikate hata shingo Niwewe wewe we Niwewe we we we Ni wewe weweeee Kama kisiki cha mpingo Niwewe we we we Niwewe we we we Niwe wewe weee Nigalagaze mi ni wako