Tumeachana Salama
Hanstone
3:45Mmh mmh Ah Lalalaah Aee Mie samaki baarini Chozi langu bure tu kwa maji la teketea Sa ntafanya nini na umesema nisijikune nisidiriki hata kuongea Mapenzii Kama kunamwalimu anipeleke shuleni Mie siwezi kila ninachofanya ni sawa na bure Me mwenzako sijazoe kitu kidogo wanifokea Mie toto dogo sijaanza tembea Iweje wanikimbiza Aaah Na lenye sura halikosi kisogo Unafuraga mithili ya mbogo Unakubwa haga huna hata dogo Wewe Ngoma zigizaga bando kwa gogo Nae mi sichaaga futa mkorogo Unanipimiaga nusu kwa robo Mie eh Acha lipite Acha tu liende zake Acha lipite Nitapishana na mengine Achaa lipite Mana hujaza leo Hujaza jana Acha lipite Mmh mmh Mmh Ati me Mmh Mashamba we ndo wakunifunza mie labda mapenzi sijui Mmmh kudanga Ukisema ni chamba ukiondoka unarudi asubuhi Apiri kata zingzong zingzong Ushanichapa fimbo fimbo Ukankata shingo shingo Mie eh Mashaka zuru ma ndingo ndingo Ushashinda kwa ulingo ulingo Mie nshafika ukingo ukingo oh Mieee Mie tabasamu langu kilio Sijui wapi ntashika Na leo zamu yangu fagio Na mpini umekatika ie eh Eeh Na lenye sura halikosi kisogo Unafuraga mithili ya mbogo Unakubwa haga huna hata dogo Wewe ngoma zigizaga Bando kwa gogo nae misichaga futa mkorogo Unanipimiaga nusu kwa robo Mie, acha lipite Acha tu liende zake Acha lipite, nitapishana na mengine Acha lipite Mana hujaza leo hujaza jana Acha lipite Uwololo lo lo lololo Lolo Lolo Mmh Mh Apirikata zingzong zingzong Ushanchapa fimbo fimbo Ukankata shingo shingo Yeii yeee Mie tabasam langu kilio Sijui wapi ntashika Na leo zamu yangu fagioo