Fleek.(Ye Freestyle)
Hitman Kaht
3:50Hitman Ting Hitman Ting Badman Ting Badman Ting Ka Olunga Bao mbili tatu mi nafunga Ka Olunga Makeki ka watatu nikipullup Aye Ka Olunga Bao Mbili Tatu menafunga Aye Ka Olunga Makeki ka watatu nikipullup Na kama Ross, siezi kuwa tu tribal Lugha joh ni pesa buda joh mi ni tribe all Nina side kwa keja na main anadai call Wanjiru and Akinyi wanadai ball Na me ndio Messi hakuna pass me nafunga Hakuna Harambee mi si Olunga All welcome lakini si kwa chakula Rada ni masocialite chorea joh machura Tuliwamurder Shee-Row Pale Wabebe Skillo Zikashika zikanice utadhani Zzero Hitman Badman kare koth ero biro Koth ero biro kare koth ero biro Came a long way from dislikes and blueticks Tangu Get a Tako wakadai kuget kiss Tuliget ass sahii wanagive tits Wanadai beng na nimechill kuliko netflix, Aye Ka Olunga Bao mbili tatu mi nafunga Ka Olunga Makeki ka watatu nikipullup Aye Ka Olunga Bao Mbili Tatu menafunga Aye Ka Olunga Makeki ka watatu nikipullup Ka Olunga aye ni ka Olunga Cheki freshi luku me nadunga tu adida Nikipiga show joh mangeus wanawika Sianda fiti jegi fiti zinadai Wote wakipull up wako sexy wamevai All I say is how are you you can say youre fine Nimechangamka ukidai extra time Zimeshalipuka cheki flow ikinuka Watu wanabanjuka Wanashika ukuta Ni Njoki na Nduta wamejaza mafuta Piga left piga right huezi daka Top striker kila mtu anakatwa Mi nawacha hadi kipa amedata Pull up with gang we real don dada You can love it or you hate it dont matter Skiza ngoma we zitoke ikibamba Toka Wabebe walibaki waki ah ah Ka Olunga Bao mbili tatu mi nafunga Ka Olunga Makeki ka watatu nikipullup Aye Ka Olunga Bao Mbili Tatu menafunga Aye Ka Olunga Makeki ka watatu nikipullup Nafunga tu mabao Wanadhani mi ni wao Kwanza vile imeweza wanafaa kulipa thao March kwenye beat ka afande hajalipwa Nafunika tu marapper itabaki mmezikwa Tingisha tu diaba usiogope kuzianika Tupate kwa kiwanja tunatema si kubanja Amechora saba mi nakuja tu na rubber Niite tu Olunga nimekuja tu kufunga Weka fiti mi nadunga Huyo ni wako mi nasunda Washa shada mi navuta Toka Runda hadi tao Imebaki wamembao 34 ndio tuna mao Tunazitoka tu hadi moro Ni watiaji na wasoro Itabaki mmetii We ni mbleina pigwa zii Me nawapa tu ka D Toka Donii hadi D (Uuuuwwwee Ka Olunga Bao mbili tatu mi nafunga Ka Olunga Makeki ka watatu nikipullup Aye Ka Olunga Bao Mbili Tatu menafunga Aye Ka Olunga Makeki ka watatu nikipullup