Lullaby Of The New Moon (I): Somnias A Luna
Hoyo-Mix
2:10Shambulia! Beba silaha Pigana mpaka mwishowe Kwa nchi yetu tutaunguza damu yoyote Rudi kwa pambaja ya dunia Hadithi yaendelea (kama moto) Heshima warithi vizazi (waka daima) Ushujaa waangaza mbingu na ardhi Mara tena ashinda Natlan (Milele tuwangoje, na tutawaimbia) (Rudini) ndugu, (rudini) mashujaa Mara ya tena mwangani Ati kweli mwahofuni kifo? (Hapana) Ushujaa wenu ni imara (bila shaka) (Kumbukeni majina ya mashujaa) (Andameni uwanjani) Kwa jamaa (zuri, safi) nchi (sawa) na taifa Kwa (vuma) matumaini (raha) mbeleni (nguvu) malengo (Rudini tunawangojeni) Nyimbo kelele sana Sikiliza zitakuongoza nyumbani Hadithi yaendelea (ah, ah) Heshima warithi vizazi Ushujaa waangaza mbingu na ardhi Mara tena ashinda Natlan Milele tuwangoje, na tutawaimbia Rudini, rudini Mara ya tena mwangani Maisha marefu ni sasa