Ndakubabariye
Israel Mbonyi
4:56Yanitosha Chorus : Yanitosha neema ya mungu Ndio uzima kuyatambuwa Kwenye mapungufu yangu Ndipo nguvu zake Zatiimiya. Verse : Nimesulubiwa nae; lakini mi niko hai; Si mimi tena, Kristo ndani yangu Nitajisifia udhaifu wangu, kwa furaha nyingi Ili uweza wake ukae juu yangu Yote nitendayo ni kwa imani, Sitaibatili neema ya Mungu kamwe Bridge : Sio mimi Tena , Christo Ndani yangu Hayo Yanitosha.