Turudiane
Jay Melody
3:45Aaah aaah aaah Taharuki ndani kumefifia, Mizozo balaa aibu kulia Sio kawaida tumesikia, Nahodha wa meli eti kukaa nyuma Oooh husda imemnyimaa, Oooh barafu kwenye mtima Oooh Hasikilizwi kauli, Oooh naye ni mtu mzima Kwani yuu wapi nahodha Yuu wapi nahodha x2 Chombo kinazama Yuu wapi nahodha x3 Chakwenda mrama Yuu wapi nahodha x3 Chombo kinazama Yuu wapi nahodha x3 Chakwenda mrama Nasiri za ndani kuhadithia, Shoga katamani jamvi kakalia Udugu amani tulifikia, Hisia chomboni mwishowe twazamia Oooh kabla ya kupenda pima, Oooh wapenda kwa akili nzima Oooh usiwe mchimba kisima, Oooh ukatumbukia mazima Kwani yuu wapi nahodha Yuu wapi nahodha x2 Chombo kinazama Yuu wapi nahodha x3 Chakwenda mrama Yuu wapi nahodha x3 Chombo kinazama Yuu wapi nahodha x3 Chakwenda mrama"