Hakawii
J Blessing
4:18Bado nasimama Bado naendelea Bado najikaza, nifike kule Bila nehema, na rehema zako, ningekuwa wapi mimi Bila upendo na fadhili zako, maisha yangu, yangekuwa bure. Kwa wema wako, kanisimamisha na Imani yangu ukaiweka salama. Kama si wewe, mwamba wa wokovu wangu, nisingeweza, ningehangamia. Nainua macho yangu, kwako wewe baba yangu Msaada wangu utatoka wapi, Msaada wangu u katika bwana Hasinzii, ananindaye, aniachi mimi niteleze Anipa nguvu na uwezo wake, ili mimi nifike kule Nifike kule End.