Tumalize
Lody Music
3:28[ar:Lody Music] [ti:Kubali] [au:Otieno_The_GOcT ] [length:03:40.06] [by:Otieno_The_GOcT ] [re:www.megalobiz.com/lrc/maker] [ve:v1.2.3] [00:03.93]Lody Music - Kubali [00:08.92]Unalewa nini wakati mwenzako ameshakuacha [00:16.45]Yaani hakutaki tena [00:20.18]Unampigia nini, akiona namba yako tu anakata [00:26.68]Huyo sio wako tena [00:30.68]Hata usiwaze kulipiza kisasi [00:34.17]Kwa vijembe vingi huko status [00:36.67]Kwenye moyo wake huna nafasi, easy [00:40.44]Tena usiwaze kujipiga risasi [00:44.42]Usijinyonge usijigasi [00:47.17]Kwenye moyo wake huna nafasi, easy [00:50.92]Usilazimishe, utazeeka vibaya [00:55.67]csikulazimishe, no no noo [01:00.41]Unaenda mishe mishe [01:02.92]Ndani analeta Malaya [01:05.93]csikubabaishee eeeh [01:11.68]cmekuacha wee (umeachwa) [01:14.18]Kubali (kubali) [01:16.67]Utampata wako mtapendana kwa dhati [01:22.17]cmekuacha wee (umeachwa) [01:24.66]Kubali (kubali) [01:27.18]cah, mapenzi yanauma eh [01:53.68]Unaempenda kampenda mwingine [01:57.20]Huyo mwingine naye ana mwingine [01:59.43]Mwingine naye kapendwa na mwingine [02:02.21]Moyo sukuma damu sio mashine [02:04.92]Yana kuumiza na pengine [02:07.42]Hauna budi kumpenda mwingine [02:09.94]Mapenzi joto joto usipime [02:12.42]Moyo sukuma damu sio mashine [02:15.42] Penzi kiza kinene, kiroho mbaya [02:18.18]Yanatesa tena vibaya [02:20.68]Ukitendwa una-retire ah! [02:25.94]Labda hufiki kina mapenzini [02:28.67]Ndio maana unaachwa matatani [02:31.19]Hufiki kina mapenzini, mapenzi mapenzi [02:35.67]Usilazimishe, utazeeka vibaya [02:40.17]csikulazimishe, no no noo [02:44.67]Unaenda mishe mishe [02:48.41]Ndani analeta Malaya [02:50.68]csikubabaishee eeeh [02:55.17]cmekuacha wee (umeachwa) [02:58.67]Kubali (kubali) [03:01.17]Utampata wako mtapendana kwa dhati [03:05.93]cmekuacha wee (umeachwa) [03:09.19]Kubali (kubali) [03:12.44]cah, mapenzi yanauma eh