Itakuwaje (Feat. Alikiba)
Maua Sama
3:20Pole pole usiniibie penzi ya habiby Mwanzo mwisho nitabaki nawewe kipenzi Everyday I Feel Faith Kuwa Nawe U gat me up high Unanipa Kile Nataka Nafurahi Yeah Uwatoe Nishai Wote Waliotaka mimi nawe tuachane And I Feel Alive Ulikuwa Wapi All The Time Penzi Usiogope Fame Dunia Yetu Mi Na We Tuwe Wote Kila Sehem I wanna be your Main chick Nakupenda, Nakupenda I wanna be your Main chick Nakupenda, Nakupenda Or let me be the main chick Nakupenda, Nakupenda I wanna be your main chick Nakupenda, nakupenda Nakupa jina we ndio mume wangu We ni nyongo Mkalia ini langu Nafsi yangu imeridhia Sitokimbia Nitazikwa nawewe Pole pole usininyime penzi laazizi Tujinome raha ya mapenzi Tufurahi U gat me up high Unanipa Kile Nataka Nafurahi Yeah Uwatoe Nishai Wote Waliotaka mimi nawe tuachane And I Feel Alive Ulikuwa Wapi All The Time Penzi Usiogope Fame Dunia Yetu Mi Na We Tuwe Wote Kila Sehem I wanna be your Main chick Nakupenda, Nakupenda I wanna be your Main chick Nakupenda, Nakupenda Or let me be the main chick Nakupenda, Nakupenda I wanna be your main chick Nakupenda, nakupenda