Kiss Me
Maua Sama
3:34M-A-U-A Sama (Yeah!) (Jini X66) Mm, nilisema sitopenda, nimependa, penda tena, ah (ah-ah-ah) Sasa nimeshatekwa, mi nimetekwa, oh, tekwa tena Yaani kama njiwa tunapepea wawili Mi' na yeye hatuna kitendawili Ah, nanenepa jamani si kwa penzi hili Nisipomwona mi' navurugwa akili Ninawaza akiniacha, ah-ah-ah (Sa' itakuwaje, sa' itakuwaje, sa' itakuwaje) Ninawaza akiniacha, aah-aah (Sa' itakuwaje) oh-oh (sa' itakuwaje, sa' itakuwaje) Mapenzi anayonipa, sitomwacha hata aniache katakata Kwa gari, nimeshafika, ah, sitoshuka hata anishushe katakata Kama njiwa tunapepea wawili Mi' na yeye hatuna kitendawili Nanenepa jamani sio kwa penzi hili Nisipomwona ninavurugwa akili Ninawaza akiniacha, aah-aah (Sa' itakuwaje) uanze wewe (sa' itakuwaje, sa' itakuwaje) Ninawaza akiniacha, aah-aah (Sa' itakuwaje) uanze wewe au mimi (sa' itakuwaje, sa' itakuwaje) Ninawaza akiniacha (aah-aah-aah-aah-aah) Sa' itakuwaje (ah, aah-aah-aah) Baby, ih (ah, aah-aah-aah, ah-ah) He! (Aah-aah-aah-aah-aah, ah, aah-aah-aah, ah) Oh, ita-kuwaje, kuwaje (aah-aah-aah, ah-ah) baby Music