Kiss Me
Maua Sama
3:34Sama (S2kizzy baby) La-la-la-la La-la-la-la The African Princess Eti nilie mara ninune kisa kuachwa Mnao subiri nitoe machozi si tuko hapa Unampenda mtu hakupendi kuvuja kwa pakacha Sipangiwi ratiba na mtu mapenzi takataka Sa'ivi bila beat nakwenda hata acapella Eti nisile tonge kuna jitu linanikera Stories za mapenzi sitaki, nataka za hela Ndo maana hata Vanessa aliimbaga tu kisela Ooh, yeah Poa tu Eeh (mi niko poa tu) Eeh (mwenzenu poa tu) Yaani unipende, usinipende mi niko (poa tu) Eeh (mi niko poa tu) Eeh (mwenzenu poa tu) Eeh Poa tu Poa tu Poa tu Mwenzenu poa tu Kuch kuch hota hai (hota hai) Nachojua sitozikwa nae Hizo sweety sijui bae (eeh bae) Kazipeleke Mumbai (Mumbai) Sa'ivi bila beat mi nakwenda hata acapella Eti nisile tonge kuna jitu linanikera Stories za mapenzi staki, nataka za hela Ndo maana hata Vanessa aliimbaga tu kisela Ooh, yeah Poa tu Eeh (mi niko poa tu) Eeh (mwenzenu poa tu) Yaani unipende, usinipende mi niko (poa tu) Eeh (mi niko poa tu) Eeh (mwenzenu poa tu) Eeh Poa tu Poa tu Poa tu Mwenzenu poa tu Eeh-eeh Yaani unipende, usinipende mi niko Eeh-eeh (Kamix Lizer)