Mtuliza Bahari
Msanii Music Group
4:12Akiinua hakuna atayenishusha Akibariki hakuna atayelaani Akikubali hakuna atakayekanusha Neno lake lazima litimie, Akiinua hakuna atayenishusha Akibariki hakuna atayelaani Akikubali hakuna atakayekanusha Neno lake lazima litimie kwangu Wale wanafunzi wake Yesu Walishinda usiku kucha Wakivua samaki baharini Hadi asubuhi Wasipate samaki hata mmoja Wakamwona Yesu Kasimama ufukweni mwa bahari Akawaambia tupeni nyavu zenu Upande wa kulia wa mashua Walishindwa kuwavuta samaki wengi Aa walishangaa sana Je wajifunze nini kwa habari za Yesu Umesoma nini anaponena Yesu Je waelewa nini anapotoa amri Hata samaki na maji Na watu waelewe Hakuna jambo linalomshinda Yesu Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake Uangalie upande wa kulia wewe we Upate jibu Hakuna jambo linalomshinda Yesu Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake Uangalie upande wa kulia wewe we Upate jibu Guitar Interlude Lipo jambo limekutesa Lipo jambo limekusumbua Shusha nyafu upande wa kulia Lipo jambo limekutesa Lipo jambo limekusumbua Shusha nyavu upande wa kulia Uone mambo Hakuna jambo linalomshinda Yesu Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake Uangalie upande wa kulia wewe we Upate jibu Hakuna jambo linalomshinda Yesu Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake Uangalie upande wa kulia wewe we Upate jibu Hakuna jambo linalomshinda Yesu Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake Uangalie upande wa kulia wewe we Upate jibu Hakuna jambo linalomshinda Yesu Mahangaiko yako ni kitu kidogo kwake Uangalie upande wa kulia wewe we Upate jibu