Sisi Ndio Wale
Zabron Singers
4:24Natamani nitoe shuhuda Kupitia wimbo nimtetee Mungu Matiafa wapate sikia Mazuri ya Mungu vile ni mwema kwetu Sisi ni bure bila Mungu Tulivyo navyo ni vya Mungu Kufanikiwa ni Mungu tu Nitabaki na Mungu Nadhani wamwelewa Mungu Si Mungu wa kushindwa Kwa wengi amefanya kitu Na sasa wanasifu Asante kwa baraka za upendo wako Najifunza wabariki wapate na wengine Asante kwa baraka ya maisha yangu Najifunza wanipenda nishare na wengine Nakutuma wimbo, uende kwa yule Ukambariki (Nenda) Makuu ya Mungu vile huinua Vile hubariki (Nenda) Nyumbani kazini uende na Mungu Usishindwe kitu (Nenda) Ufike, hee hee hee Ufike, hee hee hee Ufike, hee hee hee Wimbo sema na yule Wewe rafiki wa wote Huna ubaguzi nenda wimbo Kwenye gari waambie, ofisini kazini Nyumbani popote wimbo nenda wimbo Neno la Bwana Mungu wetu Likitamka juu ya kitu Halitarudi bila kitu Lazima litimie Umeomba kitu kwa Mungu Huyu ndiye Mungu wa vitu Kupata na kukosa vitu Mwamuzi bado yeye Asante kwa baraka za upendo wako Najifunza wabariki wapate na wengine Asante kwa baraka ya maisha yangu Najifunza wanipenda nishare na wengine Nakutuma wimbo, uende kwa yule Ukambariki (Nenda) Makuu ya Mungu vile huinua Vile hubariki (Nenda) Nyumbani kazini uende na Mungu Usishindwe kitu (Nenda)